Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Ujerumani ukikosa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wako. Ukilipa 49Euro (134632 Tshs) unatumia usafiri wa umma kwenda sehemu yeyote ya nchi kwa mwezi mzima. Ukizaa mtoto serikali inakulipa kila mwezi kwa kila mtoto mpaka napofikisha miaka 25 na Elimu ni Bure mpaka chuo kikuu. Haya yote yamewezekana kwa sababu idadi yao ya watu inaendena na GDP yao. Zaa kadri ya uwezo wako usizae ukawaachia watoto serikali. Utatujazia wavuta bangi na makahaba mtaani.Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Ngoja waje falasha shauri zako
Kuna mkenya alilalamika na kusema baada ya miaka 30 wasomali wataitawala Kenya kwa nguvu watakazokua nazo kifedha na kuelimu pia ingawa nao ni wakenya
Akasema wakenya wanaambiwa na wanasiasa wasizae sana watakosa chakula cha kuwalisha, huku wasomali wanazaana kumi kumi
Hoja yako ina ukweli isikilizwe

Ujerumani ukikosa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wako. Ukilipa 49Euro (134632 Tshs) unatumia usafiri wa umma kwenda sehemu yeyote ya nchi kwa mwezi mzima. Ukizaa mtoto serikali inakulipa kila mwezi kwa kila mtoto mpaka napofikisha miaka 25 na Elimu ni Bure mpaka chuo kikuu. Haya yote yamewezekana kwa sababu idadi yao ya watu inaendena na GDP yao. Zaa kadri ya uwezo wako usizae ukawaachia watoto serikali. Utatujazia wavuta bangi na makahaba mtaani.
Population kubwa ni capitalNitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Na wanawaacha mbali kwa uchumi maana ndio wameshikilia ila wanawazidi maarifa katika biashara piaAlikua sahiii hii
Watu wachache kwa kipimo kipi unacho zungumzia ? Na watu wengi kwa kipimo kipi pia unacho zungumzia ?Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Ukiwa unajiuluza maswali magumu namna hii hata kama majibu unakosea Ila ipo siku utapatia na hapo utakuwa GT, utaachana na udwanzi wako wa sasa.... utakuwa unajua kwa Nini Denmark, Finland na wanaofanana wanatupa msaada.Nitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Idadi kubwa ya watu na umasikini uliokithiri ni pete na kidole haihitajiki sayansi ya kiroketi kutambua hiliNitajie nchi mmoja ambayo ni super power yenye watu wachache?? Nchi itoke kwene top 20 za nchi zenye watu wachache??
Nitajie nchi moja yenye nguvu zaidi kijeshi yenye watu wachache??
Nitajie nchi yenye ushawishi mkubwa yenye watu wachache??
NB:Idadi ya watu Inauhusiano na Maendeleo na Kuwa taifa kubwa duniani
Zaeni zaeni zaeni ila muweze kuwalisha na kuwahudumia
Sio kweli kwani hata tz tunazaliana hovyo tena unazalisha unakimbia unaacha mtoto anakuwa hajui hata baba ni nani na aliktokea wapiWasomali wanazaliana hovyo kwa mihemko ya kidini kwamba wazaliane wengi waje watawale dunia. Ndivyo huu ujinga wanajazana hata waarabu wanaozaliana hovyo Ulaya.
Kweli kabisa bila akili hata tuwe mabilioni ni kazi bureRasilimali nambari moja ni akili.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na likaendelea.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni moja na lisiendelee.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na likaendelea.
Taifa linaweza kuwa na watu milioni sitini na lisiendelee.
Akili.