Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Sorry kwa watakao feel offended

Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi
Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas.

Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!!

Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui Africa ya kati ni yale yale na ya Haiti ni yale yale.

Itoe South Africa ambayo waanchi wake weusi hawamiliki asilimia 80 ya uchumi!! Ukiwa umehodhiwa na wazungu.

Jibu kama mtu usie na mihemuko!!
 
Mm naweza kusema tatizo ni elimu tuliyo patiwa sio mkombozi wa kizazi chetu. Viongozi tulio nao Ni zao la elimu yetu duni ambayo hatuonyeshi fursa za ki dunia hivyo huishia kua na mawazo yanayo sababisha tamaa matokeo yake tuna kutana na viongozi wapenda rushwa n.k
 
𝐖𝐚𝐤𝐢𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐞𝐡𝐮 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢.

𝐍𝐚𝐝𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐣𝐢𝐛𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐌𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐳𝐢 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞
 
Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.

Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.

Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja.

Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.

Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.

Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka.

Unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.

Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
 
Mm naweza kusema tatizo ni elimu tuliyo patiwa sio mkombozi wa kizazi chetu. Viongozi tulio nao Ni zao la elimu yetu duni ambayo hatuonyeshi fursa za ki dunia hivyo huishia kua na mawazo yanayo sababisha tamaa matokeo yake tuna kutana na viongozi wapenda rushwa n.k
Unafikiri elimu yetu inautofautisana na ya huku mkuu maana tumeikopi kwao pia tukarekebisha kidogo sana
 
Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.
Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.
Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja. Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.

Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.

Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka, unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.

Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
Hata siku moja mjinga hawezi mtawala mwerevu kwa muda mrefu kiasi hiki tukubali tu hatujui kwan mzungu gn waga analimit mind yk
 
Mm naweza kusema tatizo ni elimu tuliyo patiwa sio mkombozi wa kizazi chetu. Viongozi tulio nao Ni zao la elimu yetu duni ambayo hatuonyeshi fursa za ki dunia hivyo huishia kua na mawazo yanayo sababisha tamaa matokeo yake tuna kutana na viongozi wapenda rushwa n.k

Aisee!! Nakubaliana sana naww
 
𝐖𝐚𝐤𝐢𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐞𝐡𝐮 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢.

𝐍𝐚𝐝𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐣𝐢𝐛𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐌𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐳𝐢 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞

[emoji3][emoji3]
 
Utafiti unahitajika,ila shida kubwa ni copying+pasting kutoka ughaibuni
 
Mimi najibu kwa muhemuko mkubwa, kwanza wewe ni mtu mweusi, mweupe au albino (colourless)???-- tuanzie hapo.
 
Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.
Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.
Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja. Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.

Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.

Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka, unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.

Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
Kiasi fulani upo sahihi kabisa, ila sio kila tatizo letu chanzo ni wazungu , na sisi wenyewe tuna matatizo tu!!miaka zaidi ya 50, toka wametuachia uhuru lakini, mbona matatizo mengi bado ni yale yale tu toka kipindi cha uhuru?!!

Nchi nyingi za ASIA, miaka ya 70's tulikuwa nazo karibu sawa lakini leo hii wako wapi?huyo mchina licha ya viunzi anavyokutana navyo toka kwa wazungu mbona ameweza kuviruka?!!Mfano viongozi wengi wa afrika kubadirisha katiba na kung'ang'ania madarakani eg, M7, kagame, ni wazungu?!!

Wakati makundi ya wanaofaidika nao yanakwambia sisi Afrika tuna demokrasia yetu?!!hadi mwisho wa dunia hatuwezi kujitambua kwa urafi wetu, na ubinafsi tulionao, mfano kinachoendelea huko SA, kiingozi ametuhumiwa kwa kuliibia taifa(hao waandamanaji)sheria inafuata mkondo wake mnaanza kuingiza ukabila, na kujificha kwenye ukabila na kupora mali na uharibufu?

Bi miaka mingapi KABURU, amekaa pembeni licha ya uchumi kuushika yeye, hao wafrika wenzao wamefanya nini hadi leo?!!yaani ukatili tunaofanyiana sisi na viongozi wetu hadi hao wazungu wanaingilia kati!!!

Njaa imekuwa balaa kwa nchi nyingi za kiafrika, kweli tumeshindwa kuweka mikakati ya kuachana na kilimo cha kutegemea mvua?na tatizo wala sio pesa ni vipaumbele tu.SIO KILA TATIZO LETU CHANZO NI WAZUNGU.
 
Sorry kwa watakao feel offended

Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi
Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas.

Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!!

Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui Africa ya kati ni yale yale na ya Haiti ni yale yale.

Itoe South Africa ambayo waanchi wake weusi hawamiliki asilimia 80 ya uchumi!! Ukiwa umehodhiwa na wazungu.

Jibu kama mtu usie na mihemuko!!
Unajuaje wanataka kuwa hizo developed nations?

Na visiwa vya Careebian viko wapi hivyo?
 
Kati ya hizo Race mbili,weusi na weupe,nani alikaa kwenye utumwa kwa miaka 100,ukoloni kwa miaka 100 mingine?hakuna tatizo katika mbongo za weusi,sie na wazungu tupo Sawa,tungekuwa tuna shida vichwani?Patrice Lumumba,Kwameh Nkurumah,Mandela,Nyerere,Luther King,Malcon X,wangetoka wapi?
Je unajua mtu tajiri sana Afrika kusini,anaitwa Patrick Mothepe,Afrika nzima Yupo Alicko Dangote,Je unajua Dokta wa kwanza kufanya operation ya kutenganisha mapacha?alikuwa Bern Carson,mtu mweusi.
 
Ata wao wanadini pia
Sikatai ila sio watumwa na fikra mbovu za ubaguzi wa kidini km sisi wapogolo ww angalia wahindi wana dini yao ama wachina wana dini yao hawataki na hawakubagui kwa ajiri ya dini na wanapambana na elimu sasa wako juuu.
 
Sasa kama tunaamini mbna hatukuweza kwenda kuwa tawala wao mkuu isitoshe hata hao wahind walitawaliwa pia tna miaka mingi kuliko ata sisi
 
Back
Top Bottom