Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu.
Mfano inakuwaje Afrika Muhindi, Mzungu au hata Mwarabu anagombea nafasi na anachaguliwa tena kwa kura nyingi wakati hiyo sehemu hakuna watu wa aina yake ni Waafrika watupu?
Msinielewe vibaya najaribu tu kuelewa kwanini sisi siyo Wabaguzi dhidi ya wageni? Jamii nyingine inachukuwa karibia kila jitihada ili uweze kushinda uchaguzi kama wewe uko tofauti nao mfano Obama na wengineo ilipigwa Kampeni ya kufa mtu kumshawishi Mzungu kumpigia kura Obama, na kila sehemu ni hivyo hivyo, lakini Afrika ni tofauti, why?
Wagombea (pichani) Ugavana wa Mombasa Kenya, wote wawili ni Waarabu, mmoja wao kashinda