Elissante
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 335
- 344
Tatizo sisi tunajifanya wakalim sanaaaSasa inakuwaje Muhindi, Mwarabu au hata Mzungu anashinda Uchaguzi Afrika? Mfano unafikiri Mwafrika anaweza kugombea Ubunge India au China na akashinda ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sisi tunajifanya wakalim sanaaaSasa inakuwaje Muhindi, Mwarabu au hata Mzungu anashinda Uchaguzi Afrika? Mfano unafikiri Mwafrika anaweza kugombea Ubunge India au China na akashinda ?
Iddy amini aliwafanya nini wahindi, Nyerere hakutaifisha mali za wageni, Mugabe na mashamba ya wazungu?
Jirani yangu mmoja alikwenda kuoa mhindi, huo mtafuluku alio kumbana nao we acha tuu..Ndicho nilichomanisha ukiona mtu ambaye hafanani na Wazungu anagombea na kushinda mara nyingi kuna kazi kubwa sana inafanyika ili kumshawishi Mzungu kuchagua mtu asiye Mzungu na ndiyo maana hata inandikwa, lkn Afrika mtu yoyote tofauti anagombea na anachaguliwa bila ya shida, sasa kwa nini? Kumbuka Wazungu mpaka wana anti discrimination laws ili kusaidia minority wa wakubalike sasa kwa nini Afrika wageni mfano Wahindi au Waarabu na Wazungu hawana shida hata kama ni minority kwanza ndiyo hata wako privileged kuliko Waafrika wenyewe?
ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu.
Kuna wabunge wahindi, waafrika, waarabu Uingereza.Sasa inakuwaje Muhindi, Mwarabu au hata Mzungu anashinda Uchaguzi Afrika? Mfano unafikiri Mwafrika anaweza kugombea Ubunge India au China na akashinda ?
Tunakata viungo binadamu wenzetu (maalbino), tuna uchunaji ngozi. Yote haya ni kwa imani za kijinga. Bado sisi ni "binadamu" zaidi.Sisi ndiyo superior human beings, we are more human than the rest.
Sehemu ambazo zimeelimika huwezi kukuta Mwarabu, Mhindi au Msomali ni kiongozi, Moshi, Mbeya, Bukoba, Mwanza au Arusha.Dunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu.
Mfano inakuwaje Afrika Muhindi, Mzungu au hata Mwarabu anagombea nafasi na anachaguliwa tena kwa kura nyingi wakati hiyo sehemu hakuna watu wa aina yake ni Waafrika watupu?
Msinielewe vibaya najaribu tu kuelewa kwa nini sisi siyo Wabaguzi dhidi ya wageni? Jamii nyingine inachukuwa karibia kila jitihada ili uweze kushinda uchaguzi kama wewe uko tofauti nao mfano Obama na wengineo ilipigwa Kampeni ya kufa mtu kumshawishi Mzungu kumpigia kura Obama, na kila sehemu ni hivyo hivyo, lakini Afrika ni tofauti, why?
Hao wengine waliteka ma mababu zako wakawafanya watumwa na kuwapiga mijeledi, wakatawala nchi zetu na kutesa na kubagua raia, copy thatTunakata viungo binadamu wenzetu (maalbino), tuna uchunaji ngozi. Yote haya ni kwa imani za kijinga. Bado sisi ni "binadamu" zaidi.
Huu ni ushahidi wa uwepo wa ubaguzi, angalau kwa maeneo uliyoyataja.Sehemu ambazo zimeelimika huwezi kukuta Mwarabu, Mhindi au Msomali ni kiongozi, Moshi, Mbeya, Bukoba, Mwanza au Arusha.
Nikifikiria CCM inavyowabagua Watanzania wenzao, duh! Eti kama hukubaliani nao uhame nchi na ole wako usikubaliane nao halafu ubaki nchini, utakiona!Lakini Waafrika matajiri ndiyo hupenda kuwa karibu na Wazungu au Waarabu kuliko yoyote yule, Mwafrika tajiri hupenda kuwa karibu zaidi na wageni, hivyo bado siyo mbaguzi, …
Ndiyo na mifano ipo.Mfano unafikiri Mwafrika anaweza kugombea Ubunge India au China na akashinda ?
Ndiyo na mifano ipo.
Obama.....rais US
Mtanzania.....diwani Uingereza
Kamala ..... Makamu rais US
Tatizo waafrika huwa hatuniini tu
Nikifikiria CCM inavyowabagua Watanzania wenzao, duh! Eti kama hukubaliani nao uhame nchi na ole wako usikubaliane nao halafu ubaki nchini, utakiona!
Heri hata hao wanaobagua wageni, ubaguzi hapa Tanzania unaoratibiwa na CCM ni wa hatari! Unaweza kuta unawekwa ndani ya kiroba mzima mzima!
Ponti[emoji81][emoji81]Sasa ukiwa maskini utambagua nani?
Na watu wa Mungu (watakatifu).Tatizo sisi tunajifanya wakalim sanaaa
Comment yangu hii hapa..umemaliza kila kituSasa ukiwa maskini utambagua nani?