Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Sehemu ambazo zimeelimika huwezi kukuta Mwarabu, Mhindi au Msomali ni kiongozi, Moshi, Mbeya, Bukoba, Mwanza au Arusha.
Zimeelimika ukiwa una maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu ambazo zimeelimika huwezi kukuta Mwarabu, Mhindi au Msomali ni kiongozi, Moshi, Mbeya, Bukoba, Mwanza au Arusha.
Hao wengine waliteka ma mababu zako wakawafanya watumwa na kuwapiga mijeledi, wakatawala nchi zetu na kutesa na kubagua raia, copy that
Tuwe tunafanya research kabla ya kuanzisha songombingo
![]()
Pakistan's first lawmaker of African descent raises hopes for Sidi community
Tanzeela Qambrani, from the tiny Sidi community, has ancestors who hailed from East Africa.www.bbc.com
Kubagua mtu ni nafsi ya mtu mwenyewe, Kwa sisi waislamu hatukufundishwa huu ujinga wa kubaguana na kuchukiana, tena waislamu wenye imani haswaa huwezi kukuta huu ujinga wakifanya, ukiona muislamu anamchukia mwarabu, mzungu au mhindi huyo ni muislamu jina tu, hata humu wapo baadhi.Lakini ndicho ninachomaanisha, hakuna Ubaguzi dhidi ya watu waliotofauti kimuonekano na sisi wakati jamii nyingine karibia zote ukiwa una muonekano tofauti utabaguliwa au hata tu utajisikia mwenyewe kwamba wewe siyo sehemu ya hiyo jamii lkn Tanzania na Afrika ni kinyume chake!
Tuwe tunafanya research kabla ya kuanzisha songombingo
![]()
Pakistan's first lawmaker of African descent raises hopes for Sidi community
Tanzeela Qambrani, from the tiny Sidi community, has ancestors who hailed from East Africa.www.bbc.com
Obama aligombea Kenya?Sasa inakuwaje Muhindi, Mwarabu au hata Mzungu anashinda Uchaguzi Afrika? Mfano unafikiri Mwafrika anaweza kugombea Ubunge India au China na akashinda ?
Sababu kubwa ni dini za kigeni. Mtu tangu akiwa mdogo anampigia magoti mungu mzungu, yesu mzungu, mama wa yesu mzungu, watakatifu, malaika, pope wote wazungu., mtu tangu akiwa mtoto mdogo akili inatengenezwa kumwona mzungu ni mkombozi wake mzungu ni superior race kwake sasa mtu huyu akiwa mkubwa shauku yake inakua ni kumfurahisha mzungu yaani ile kitendo tu cha kuwa na ukaribu au ushirikiano na mzungu kwako ni furaha bila kujali huo ushirikiano anakandamazwa au hafaidiki na chochote the same to dini nyingine mtume wa mungu ni muarabu, kitabu cha mungu kiameandikwa kiarabu, unaambiwa, uko uarabuni saudi arabia ndo ardhi takatifu.. ndipo hapo tunaanza kutukuza races zingine na kujichukia na kuchukiana sisi wenyeweDunia nzima na culture zote watu wanaofanana muenekano hupendeleana na kumtenga yule anayeonekana tofauti, siyo sawa lkn ni kawaida, ukienda China ukiwa siyo Mchina watakutenga, Uarabuni ukiwa siyo Mwarabu watakutenga vivyo hivyo Wazungu.
Mfano inakuwaje Afrika Muhindi, Mzungu au hata Mwarabu anagombea nafasi na anachaguliwa tena kwa kura nyingi wakati hiyo sehemu hakuna watu wa aina yake ni Waafrika watupu?
Msinielewe vibaya najaribu tu kuelewa kwa nini sisi siyo Wabaguzi dhidi ya wageni? Jamii nyingine inachukuwa karibia kila jitihada ili uweze kushinda uchaguzi kama wewe uko tofauti nao mfano Obama na wengineo ilipigwa Kampeni ya kufa mtu kumshawishi Mzungu kumpigia kura Obama, na kila sehemu ni hivyo hivyo, lakini Afrika ni tofauti, why?
Wagombea (pichani) Ugavana wa Mombasa Kenya, wote wawili ni Waarabu, mmoja wao kashinda
View attachment 2340662
Nawasihi wote mkitaka kujua namna mnachukiwa huko duniani pitieni hii forum😂
chimpout.com/
Unaweza ghairi safari ya ughaibuni😂
Hili nalo neno.Sasa ukiwa maskini utambagua nani?
Kuna hata diwani mtanzania huko uarabuni? huku ni wabunge wamejazanaKubagua mtu ni nafsi ya mtu mwenyewe, Kwa sisi waislamu hatukufundishwa huu ujinga wa kubaguana na kuchukiana, tena waislamu wenye imani haswaa huwezi kukuta huu ujinga wakifanya, ukiona muislamu anamchukia mwarabu, mzungu au mhindi huyo ni muislamu jina tu, hata humu wapo baadhi.
Swali👇🏽 naomba unijibu!
Kwanini mwarabu anachukiwa sana kuliko race yoyote ile duniani? Mara utasikia waarabu ni mashetani, waarabu ni watu wabaya sana, waarabu ni wanyanyasaji, waarabu walitesa mababu enzi za utumwa, waarabu wanaroho mbaya afadhali ya mzungu n.k, je, kuna ukweli wowote hapo?
Karibu
Kuna hata diwani mtanzania huko uarabuni? huku ni wabunge wamejazana
Jinga kweli, Meatu na Ngairo kuna maendeleo gani nyumba za tembe ndiyo maendeleo? mbona Moshi haijawahi kuongozwa na Mhindi wala Mwarabu na ndiyo inaongoza kwa maendeleo? pia ni ujinga kudhani Mbunge pekee analeta maendeleo na wakati kuna DC, DAS, DED, Mwenyekiti wa halmashauri na wakuu wa idara.Na ndio wanakubalika na kuleta maendeleo, shabibi wanagairo wanampenda, wanamkubali na anawasemea watu wake na watanzania kwa ujumla malalamiko yao, meatu wakati mwarabu mbunge enzi za kikwete aliwafanyia wana meatu mazuri, leo hii wanamkubuka.
Huko uarabuni kama hawajitokezi kugombea!! Unataka watafutwe!! Basi raha sana.
Just think be4 u post
Jinga kweli, Meatu na Ngairo kuna maendeleo gani nyumba za tembe ndiyo maendeleo? mbona Moshi haijawahi kuongozwa na Mhindi wala Mwarabu na ndiyo inaongoza kwa maendeleo? pia ni ujinga kudhani Mbunge pekee analeta maendeleo na wakati kuna DC, DAS, DED, Mwenyekiti wa halmashauri na wakuu wa idara.