sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba kazi, hio kazi ya mnaijeria ni kuwa profesa wa chuoni ila mmarekani mweusi hata chuo hajasoma analalamika.
Pia kwa nchi kama marekani kundi la wanajeria ndilo linaongozea kwa kuwa kundi lililoelimika kuzidi makundi ya nchi zingine, yani hapa hakuna cha muhindi, mu israel, mfaransa, muingereza, mchina, n.k. wote hawajafikia levo za mnaijeria unaambiwa familia za kinaijeria kwa marekani ni kawaida sana kukuta kila mtu ana masters.
Nashangaa sana hivi vitu, familia ya wanaijeria mtoto anakaziwa vibaya mno kwenye elimu yake, wazazi wanajitoa sana, mtoto ataambiwa achague kuwa Engineer, Daktari, Mwanasheria ama kwa mbali sana Mhasibu, imeisha hio!
Kwa upande wa wamarekani weusi hata mtoto akiamua kuacha shule wazazi wanaona fresh tu, matokeo yake anakosa hata kazi inabidi aingie kwenye muziki, makundi, uhalifu, n.k.