Kwanini waafrika wengi wakipata taste kiduchu ya power wanakuwa GREEDY na SELFISH ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Katika nchi nyingi za Afrika, tumeona jambo la kushangaza lakini la kusikitisha: mtu akipata tu ladha kidogo ya madaraka, ghafla anasahau misingi ya utu, uwajibikaji, na usawa ambayo yawezekana alikuwa mwanaharakati wa kuvipigania hadi akaaminiwa kupewa cheo alichonacho.

Akishapata madaraka anakuwa na haraka ya kuhudumia tumbo lake, familia yake, ndugu zake hadi kabila lake. Taifa linakuwa jambo la mwisho.

Anayetofautiana naye anaonekana adui wa kudhoofishwa, kubaguliwa au hata kuondolewa kabisa.

Kadri anavyonogewa na Power anaanza kujijengea mazingira ya kuteuliwa au kuiba chaguzi sio kuchaguliwa kwa haki tena

Lakini je, huu ni uovu wa mtu binafsi au ni udhaifu wa mifumo yetu ya kisiasa? Tumejenga mifumo inayompa mtu mmoja mamlaka makubwa kupita kiasi, bila uwajibikaji wa kweli kwa wananchi. Tuna miundombinu ya ufisadi badala ya miundombinu ya demokrasia.

Wakati mwingine hatuhitaji viongozi wapya tu — tunahitaji kubadilisha mfumo mzima unaowazalisha viongozi wa aina moja, kila wakati.
 
kwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
 
job true true
 
Maskini . Ubinafsi na roho mbaya
 
kwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
Mwenyezi mungu haamini kwamba kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndio maana hata kwenye bibilia unayoiyamini uongozi ulikuwa wa kurithishana yaani familia sijui hoja Yako ilikuwa ni ipi.
 
Attachments

  • Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    324.7 KB · Views: 31
Maybe most of the negros are selfish and greedy by nature. OR, it could be that most negros are poor so they are driven to be selfish by poverty.

Ndio maana ni nadra sana kumpata mtu wa aina ya Nyerere au Warioba.
 
Money and Power is a Litmus paper to test the other dark side of human behaviour
 
Kuna movie ya mwaka 2019 inaitwa "Underground" natamani madikteta na mafisadi maarufu wote wawe na mwisho kama wa yule dikteta.

Ni kitu kile kile kilichomkuta Gaddafi mwishoni mwake. Yaani hakuna kumpeleka mahakamani wala sijui wapi. Unamkabidhisha kwa raia wenye hasira ili iwe fundisho na kuwapa wengine taswira ya mwisho wa kiburi.

Natamani sana itokee bongo hiyo watu wawekwe kati wachezee magumi,mateke, magongo,kipigo kama anachopewa mtoto wa masikini ambaye amekamatwa kwa wizi.
 
Mwenyezi mungu haamini kwamba kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndio maana hata kwenye bibilia unayoiyamini uongozi ulikuwa wa kurithishana yaani familia sijui hoja Yako ilikuwa ni ipi.

hoja yangu ni kwamba democracy ni Christian au chimbuko lake ni ni western Christian civilization, ndicho nilichomaanisha, kwenye Islamic civilization hakuna democracy au labda niseme hakuna historia ya demokrasia kama tuijuavyo leo hii hata mila mila zetu za kiafrika hivyo hivyo ...
 
Natamanigi ningezaliwa mzungu japo ila nmezaliwa bongo acha nikae kimya
 
hoja yangu ni kwamba democracy ni Christian au chimbuko lake ni ni western Christian civilization, ndicho nilichomaanisha, kwenye Islamic civilization hakuna democracy au labda niseme hakuna historia ya demokrasia kama tuijuavyo leo hii hata mila mila zetu za kiafrika hivyo hivyo ...
Ni kweli kwasababu wanafuata maandiko ambayo yapo kwenye dini zote.
 
kwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
Hauna akili kabisa kwahiyo siera Leone,Liberia,Ethiopia, Cameroon, equatorial guinea, Guinea,Gabon ni islamic? Ujinga tu
 
Back
Top Bottom