job true truekwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
Maskini . Ubinafsi na roho mbayaKatika nchi nyingi za Afrika, tumeona jambo la kushangaza lakini la kusikitisha: mtu akipata tu ladha kidogo ya madaraka, ghafla anasahau misingi ya utu, uwajibikaji, na usawa ambayo yawezekana alikuwa mwanaharakati wa kuvipigania hadi akaaminiwa kupewa cheo alichonacho.
Akishapata madaraka anakuwa na haraka ya kuhudumia tumbo lake, familia yake, ndugu zake hadi kabila lake. Taifa linakuwa jambo la mwisho.
Anayetofautiana naye anaonekana adui wa kudhoofishwa, kubaguliwa au hata kuondolewa kabisa.
Kadri anavyonogewa na Power anaanza kujijengea mazingira ya kuteuliwa au kuiba chaguzi sio kuchaguliwa kwa haki tena
Lakini je, huu ni uovu wa mtu binafsi au ni udhaifu wa mifumo yetu ya kisiasa? Tumejenga mifumo inayompa mtu mmoja mamlaka makubwa kupita kiasi, bila uwajibikaji wa kweli kwa wananchi. Tuna miundombinu ya ufisadi badala ya miundombinu ya demokrasia.
Wakati mwingine hatuhitaji viongozi wapya tu — tunahitaji kubadilisha mfumo mzima unaowazalisha viongozi wa aina moja, kila wakati.
Mwenyezi mungu haamini kwamba kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndio maana hata kwenye bibilia unayoiyamini uongozi ulikuwa wa kurithishana yaani familia sijui hoja Yako ilikuwa ni ipi.kwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
kwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
Mwenyezi mungu haamini kwamba kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndio maana hata kwenye bibilia unayoiyamini uongozi ulikuwa wa kurithishana yaani familia sijui hoja Yako ilikuwa ni ipi.
Ni kweli kwasababu wanafuata maandiko ambayo yapo kwenye dini zote.hoja yangu ni kwamba democracy ni Christian au chimbuko lake ni ni western Christian civilization, ndicho nilichomaanisha, kwenye Islamic civilization hakuna democracy au labda niseme hakuna historia ya demokrasia kama tuijuavyo leo hii hata mila mila zetu za kiafrika hivyo hivyo ...
Hauna akili kabisa kwahiyo siera Leone,Liberia,Ethiopia, Cameroon, equatorial guinea, Guinea,Gabon ni islamic? Ujinga tukwa sababu nchi nyingi za kiafrika ni adha Islamic au mila mila, only Christianity ndiyo kuna demokrasia angalia kwa mfano tu Pope mkuu wa Kanisa Katoliki anachaguliwa kwa kura ...
Hauna akili kabisa kwahiyo siera Leone,Liberia,Ethiopia, Cameroon, equatorial guinea, Guinea,Gabon ni islamic? Ujinga tu