Wataongeleaje na wenyewe ni wala rushwa, unaweza kuukata mkono unaokulisha wewe?Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi.
Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku
Nashauri wana habari tengeni muda na kutupa habari za uhakika za rushwa ili tupunguze hili janga.
Duh ! Kama ni kweli it’s so sad !Wataongeleaje na wenyewe ni wala rushwa, unaweza kuukata mkono unaokulisha wewe?
Kuna rushwa za aina 2.Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi.
Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku
Nashauri wana habari tengeni muda na kutupa habari za uhakika za rushwa ili tupunguze hili janga.
Kuna rushwa za aina 2.
1. Petty Corruption
2.Grand Corruption
Petty corruption ni rushwa yetu ya kawaida, tumeizoea and its order of the day, wengine tunaitoa wenyewe bila kuombwa ili tupate preferential treatment and sometimes just to save time and money, kama una haraka zako, una overspeed ukipigwa mkono, unaachia Msimbazi fasta na kuendelea kuliko kusubiri notifications ni msimbazi 3!. Polisi wanalipwa mishahara kiduchu sana hivyo let's support them kama jamii inavyotusupport sisi waandishi wa habari. Hii sio rushwa mbaya kivile wala haihitaji kuandikwa saana kivile.
2. The grand Corruption ndio rushwa mbaya inayohitaji waandishi mahiri wa IJ, kuiandika ila huku nako kuna changamoto zake. Kuna issues tunazifuatilia taratibu na strategic, zikiifa nawapakulia.
JF ya zamani was doing a good job kwenye hili kuliko JF hii. EPA, IPTL, TANGOLD, Meremeta, Escrow, DCP, Radar, Richmond ziliibuliwa humu JF na kufanyiwa kazi. Siku hizi sijui tumekuwaje?!. Kuyaandika haya kwataka moyo Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
Petty Corruption ni vijirushwa vidogo vidogo vya kufanya mambo yaende fasta, nyingine haziombwi ni wewe tuu mwenyewe unajiongeza, mfano hilo la Nida, kati ya my 10 kids, 5 ni over 18, kwenye vitambulisho vya Nida unakuta foleni ya ajabu!. Nikajiongeza, 'unawaona watu', nilipata vitambulisho vyangu 7 within one week!. Passport 4 days, sehemu yenye foleni ndefu na hakuna jinsi ya kuikatisha ni appointment ya US visa, nayo nikagundua mbinu, unaomba visa type I multiple entry, unalipa US $ 500 per visa pale City Bank. Kwenye attachment badala ya kuatach flights bookings, unalipia kabisa flights multiple flights kujulisha una haraka kweli na ndio maana ume risks kulipia flights before visa. Take it from me unapewa early appointment!.P,
Nafikiri hata hiyo ya petty corruption isiwepo mfano hii ya kucheleweshewa card za NIDA mpaka wahogwe ni petty au grand?