Kwanini Waarabu hawataki tuoe kwao?

Hatimaye uzi wangu umerudi,nashukuru sana mods[emoji120]
 
Ngozi nyeusi ni symbol ya umaskini na mental Breakdown according to BOTHA the late S.A president
 
Unajidhalilisha kulialia kuoa sehemu hutakiwi....anyway nimeishi na izo race sana na kweny contacts zangu za simu wapo ila naona kawaida wanajali sana pesa wapo kibao choka mbaya wameolewa na jamaa kadhaa.
Hatuzungumzii hao choka mbaya wa Nzega ambao hawana hata ndugu Oman[emoji16]
 
Sasa si uoe hao dada zako? Wewe ndio unawashobokea ndio maana unahoji kwanini hawakutaki. Kama wangekuona wa maana wangekufata tu ila huna hiyo hadhi yao acha kujipendekeza watakufanya kitu mbaya
Mbna wazungu tunamwagia ndani broo?
 
Unafikiri dini inaangalia kufanana kwenu kiimani, Dini nayo imezungumza uwezo pia wa kiuchumi, nasaba na uwezo pia wa kula hiyo kitu. Sasa wewe hilo la nasaba unalijua?
Kama kweli hilo andiko la nasaba kama lipo basi waliweka wenyewe
 
Ukiona waarabu wamekubali we mswahili uoe binti yao basi wameona una hela

Ova
 
Kuna bidada mwarabu Koko nilikuwa naye kwenye mahusiano ni mzanzibar Kuna siku alinambia kinaga ubaga kuwa anahitaji kusomwa jicho yaani 0713... nikamwambia mie situmii hiyo kitu kwanza alinishangaa na kunambia mbona ni jambo la kawaida na ni tam sana nikizoea nikamwambia hapana akaniuliza Kwa ukali kwamba Nakula au sintokula nikamwambia sijawahi na sitaki akanambia tangu sasa mahusiano yamekwisha tukaachiana hapo.
 
Umezingua kinoma
 
Kuna mzee mtu mzima mbagala kaoa mwarabu,familia ile yenye maduka ya mchele kariakoo,mzee Ana hela chafu ,binti wa kiarabu mke mdogo,

Baba mwarabu katoa laana zote,Ila mama kavuta mpunga mrefu,
 
dah kwaiyo mkuu analilia kula mbususu ya kiarabu? huogopi kuondoka na mashaitwani? kuna watu majasiri sana no wonder ndomaana wanaume tunaishi muda mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…