GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu kumbe Wewe siyo Mweusi (Mwafrika) mwenzetu na ni Mwarabu au Mhindi?Nyie ni wazinzi Kama nzi
Kwani Kila Mwafrika ni mweusi?Mkuu kumbe Wewe siyo Mweusi ( Mwafrika ) mwenzetu na ni Mwarabu au Mhindi?
Nimetumia neno 'Mweusi' kama Kuwakilisha tu Sisi Waafrika ila kwakuwa 'IQ' yako ni ya 'Punje ya Mchele' jambo jepesi tu hili umeshindwa kulijua.Kwani Kila Mwafrika ni mweusi?
Ntakuuliza swali, makaburu Ni weusi? Tunisia, Egypt, Morocco je ni weusi. Endelea na matusi yako, lakini ukiona mbwa anajiuma mkia ujue ana kichaaNimetumia neno 'Mweusi' kama Kuwakilisha tu Sisi Waafrika ila kwakuwa 'IQ' yako ni ya 'Punje ya Mchele' jambo jepesi tu hili umeshindwa kulijua.
[emoji16][emoji16]Ntakuuliza swali, makaburu Ni weusi? Tunisia, Egypt, Morocco je ni weusi. Endelea na matusi yako, lakini ukiona mbwa ana jiuma mkia ujue ana kichaa
Kuna waarabu ni Waafrica e.g Libya, Morocco, e.t.cNimetumia neno 'Mweusi' kama Kuwakilisha tu Sisi Waafrika ila kwakuwa 'IQ' yako ni ya 'Punje ya Mchele' jambo jepesi tu hili umeshindwa kulijua.
Watu kama Wewe wenye 'IQ' ndogo ndiyo mnasababisha Wazungu kila Siku watufafanishe Sisi Weusi (Waafrika) na Nyani au Sokwe au Ngedere.Ntakuuliza swali, makaburu Ni weusi? Tunisia, Egypt, Morocco je ni weusi. Endelea na matusi yako, lakini ukiona mbwa ana jiuma mkia ujue ana kichaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jaribu kupeperusha kitambaa cheusi kwenye hafla/mwaliko halafu ulete majibu hapa
Rafiki, matusi Ni hulka yako, nitukane weeeee ukichoka utaacha.Watu kama Wewe wenye 'IQ' ndogo ndiyo mnasababisha Wazungu kila Siku watufafanishe Sisi Weusi ( Waafrika ) na Nyani au Sokwe au Ngedere.