Mkuu tembea uone,,
Ktk watu wanaofanana tabia na waafrica ni wahindi na waarabu,,tatizo wao wametuzidi waafrica ubaguzi tu ,,
Lakini mambo yote ya mwafrica,,roho mbaya,,kutembea na house girl,,majungu,,vyote wanavyo.
mm niliwahi kufanya kazi sehem kwa muhindi,,hapa Tanzania.
Alikuwa anatoka na sales manager wake wa company,,na secretary wake kwa pamoja..
Tena anawala humo humo ofisini,,kwa muda tofauti,
Sales ni muhindi mwenzie,
Secretary ni dada yetu mweusi mtanzania.
Mbaya zaidi yule dada yetu mtanzania ni mchumba wa mtu,,
Jamaa anamleta na kumrudisha ofisini kwa gari private,,kila siku.
lakini yule boss badi anamla humo humo,,,na sometimes anamlia home kwake upanga street,,
Kulikuwa kuna godown la company maeneo ya Chang'ombe ,,
Anatoka na yule sales kwenda kufanya stock taking kumbe yupo nae upanga anamla siku nzima,,
Au atatoka na yule secretary kufanya stock taking,,
kumbe anakwenda kumla upanga.
Na siku ya kumla ofisini basi tutatolewa mapema ofisi nzima,,wanasema kuna mahesabu wanapiga,,
demu analiwa humo ndani store.
Huku jamaa yake akimsubiri nje ofisini amrudishe nyumbani.
Mkuu usimchukulie dhamana mwanamke na mwanaume yeyote yule duniani..
Tabia haina jinsia wala rangi au utaifa wa mtu..
huo ni ushuhuda wangu mimi,,na sio hadithi fikirishi.