Sijui sample size iliotumika ila binafsi nimesikia shuhuda nyingi za matajiri wa jamii hiyo kuwa harrass ki-ngono wafanyakazi wao (wawe na wa ndan au dukani).na mmoja nilikua na nasaba nae ya mbali yeye alinisimulia mwenyewe yaliyompata na vias vingine alivyowahi kushuhudia.
So inaweza kuwa sio kwa kiwango kikubwa lakini kusema HAIWEZEKAN,KAMWE,MWIKO sio sawa.Wapo wanaofanya kabisa