Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Mkuu umemaliza mchezo aseme lengo la swali lake sasaUnga kilo 600,nyama kilo 6000 ungekuwa wewe ungefanyaje? watu wanazunguruuka kama jibu hawalioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umemaliza mchezo aseme lengo la swali lake sasaUnga kilo 600,nyama kilo 6000 ungekuwa wewe ungefanyaje? watu wanazunguruuka kama jibu hawalioni
Hakika hilo ndio jibuUnga kilo 600,nyama kilo 6000 ungekuwa wewe ungefanyaje? watu wanazunguruuka kama jibu hawalioni
Fact sana hiikwasababu wanakula ugali kuliko mboga, in the contrary, wazungu wanakula zaidi majanimajani, minyamya, samaki etc kuliko mawanga. kitu kingine, ujue wanga unanenepesha kuliko mboga, na kwa wabogo kunenepa ni afya wakati kwa wazungu kunenepa ni ugonjwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unataka watu wanywe ndoo nzima ya maji?Kwamba gharama! Sidhani...mbona maji tele tuu bongo lkn wadau wanakunywa kiduchu etii
Teh!Wadau wanalalamika gharama kwamba vyuma vimeka......
HahahhahahahhaUnga kilo 600,nyama kilo 6000 ungekuwa wewe ungefanyaje? watu wanazunguruuka kama jibu hawalioni
ili tushibeKwanini wabongo chombo cha mboga huwa kidogo kuliko cha ugali?