Kwanini wabongo chombo cha mboga huwa kidogo kuliko cha ugali?

Unga kilo 600,nyama kilo 6000 ungekuwa wewe ungefanyaje? watu wanazunguruuka kama jibu hawalioni
Hakika hilo ndio jibu

Kwa mfano nyama ingekua inauzwa 600 na unga 6000 watu wengi tungehamia kujaza mabakuli ya nyama na kibakuli kidogo cha ugali wakusindikizia
 
Fact sana hii
 
Kwamba gharama! Sidhani...mbona maji tele tuu bongo lkn wadau wanakunywa kiduchu etii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…