Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,830 Reaction score 4,729 Sep 10, 2015 #1 Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Watanzania wengi wanapo ongea Kiingereza wanarembua, wanafumba fumba macho na kupepesa nyusi, kwanini hawafanyi hivyo wakiongea Kiswahili au ni utamu wa Lugha hiyo? Msaada tafadhali.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Watanzania wengi wanapo ongea Kiingereza wanarembua, wanafumba fumba macho na kupepesa nyusi, kwanini hawafanyi hivyo wakiongea Kiswahili au ni utamu wa Lugha hiyo? Msaada tafadhali.
foyo mwalongo Member Joined Sep 6, 2015 Posts 46 Reaction score 6 Sep 10, 2015 #2 Ukiona hivyo ujue mbabaixhaji
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,423 Sep 10, 2015 #3 tunakuaga tunajaribu kukumbuka tenses na grammar!
Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,830 Reaction score 4,729 Jun 15, 2016 Thread starter #4 Okay
pirates lil JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 958 Reaction score 912 Jun 15, 2016 #5 Madoido