Kwanini wabongo wanakonyeza na kurembua wanapo ongea Kiingereza?

Kwanini wabongo wanakonyeza na kurembua wanapo ongea Kiingereza?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Watanzania wengi wanapo ongea Kiingereza wanarembua, wanafumba fumba macho na kupepesa nyusi, kwanini hawafanyi hivyo wakiongea Kiswahili au ni utamu wa Lugha hiyo? Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom