Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Watanzania wengi wanapo ongea Kiingereza wanarembua, wanafumba fumba macho na kupepesa nyusi, kwanini hawafanyi hivyo wakiongea Kiswahili au ni utamu wa Lugha hiyo? Msaada tafadhali.