Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hapa unasema uongo.Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
In simple language "Lazima mwaka huu turekebishe akili zenu liwake jua au inyeshe mvua"Nyie inamisheni tu huku mkijua Sheria hazina siasa!
Si kweli, tume ni yao hata wakikosea wanaitwa yanafanyika marekebisho.Hoja yako imejibiwa ndani ya mada na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
mgombea wa bukene ni mwanasheria kwa taaluma au hizo fomu ni kwa wanasheria wa ccm tu?Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Wamesaidiwa na wanasheria wa Chama kujaza fomu zao, Wakati Chadema ikiendelea na ule mchakato wa kusaka wadhamini, CCM Wao na vikao vya kujaza fomu n.k,Kwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!
Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!
Mimi mwanasheria wangu kuna form zangu za biashara kazikosea na nishazifikisha ofisi ya serikali ndio nikajua kama alikosea. Kwahio wanasheria wa ccm hawakosei?Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.
Wewe jamaa ni kilaza kweli sijui una njaa ya muda gani kichwani mwako?Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Hivyo unataka kusema kujaza form za kugombea ubunge na udiwani zinapaswa kujazwa na wanasheria tu, usipokuwa mwanasheria au bila kujaziwa na mwanasheria huwexi kujaza form ya uchaguzi?!CCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyake
Unamsaidia mtu kujaza fomu ambayo mjukuu wangu wa grade 2 anaweza kuijaza vyema,tena huyu mtu anagombea nafasi ya kwenda kutunga sheria na kupitisha bajeti!.Hoja yako imejibiwa ndani ya mada na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Hahaha yani ujinga nayo sifa, hivyo hata Magufuli na PhD yake kajaziwa form ya kugombea na mwanasheria?!Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Comment na mada zako huwa zinaburudisha!In simple language "Lazima mwaka huu turekebishe akili zenu liwake jua au inyeshe mvua"
Msije mkalaumu maana mchezo mumeuanza nyie!
Hivi kwa nini wagombea wote wa upinzani katika mkoa mmoja baada ya kuchukua fomu wasikusanyike kwa pamoja na kuelekezwa na mwanasheria pamoja na mbunge mzoefu ndani ya mkoa huo kwa pamoja amvapo wangetumia sample form moja iliyojazwa tayari? Kisha fomu walizojaza zikaguliwe kwa pamoja ndipo kila mmoja airudishe tena kwa kusindikizwa.Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga
Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la kuwaengua kwa sababu kuu moja ambayo ni kujua vizuri taratibu za mchakato wa kuchukua fomu, kujaza kwa usahihi na kurudisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.
Baadhi ya Wabunge waliokuwa wa viti maalum pia wameenguliwa kwa sababu nao hawana uzoefu katika mchakato kutokana na kuwa hawakuwahi kujaza fomu za kugombea ubunge bali walipewa ubunge kupitia vyama vyao.
Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.
Wapinzani wataendelea kulalamika wakati tatizo na ufumbuzi wa tatizo uko ndani ya uwezo wao kama watajipanga vizuri.
Wapinzani kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii wakati masuala ya muhimu kwenye "ground zero" hawayafanyi kwa umakini.
Uchaguzi Mkuu ni mchakato na sio tukio
Ikumbukwe kuwa Sheria hazina Siasa
Kilichobaki kwa sasa ni kuhesabu maumivu
Dogo kwahiyo unakubali hata pingamizi la Tundu dhidi ya mgombea wa CCM na CUF ni utoto.Anayewadanganya kuwa huu uchaguzi mtaenda nao katika uhuni huu mnaoonyesha mwambieni akaje upya. Nasema mwambieni akaje upya. Endeleeni na utoto wenu huo huo! Sisi kwa sasa tumeinamisha vichwa chini kama kobe. Muda ukifika tutavinyanyua
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli aliyekosea hakuenguliwa kwa vile ni mzoefu?Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga
Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la kuwaengua kwa sababu kuu moja ambayo ni kujua vizuri taratibu za mchakato wa kuchukua fomu, kujaza kwa usahihi na kurudisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.
Baadhi ya Wabunge waliokuwa wa viti maalum pia wameenguliwa kwa sababu nao hawana uzoefu katika mchakato kutokana na kuwa hawakuwahi kujaza fomu za kugombea ubunge bali walipewa ubunge kupitia vyama vyao.
Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.
Wapinzani wataendelea kulalamika wakati tatizo na ufumbuzi wa tatizo uko ndani ya uwezo wao kama watajipanga vizuri.
Wapinzani kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii wakati masuala ya muhimu kwenye "ground zero" hawayafanyi kwa umakini.
Uchaguzi Mkuu ni mchakato na sio tukio.
Ikumbukwe kuwa Sheria hazina Siasa.
Kilichobaki kwa sasa ni kuhesabu maumivu.
Hahaha uongo huu unadhani unaweza kujustfy uovu unaofanywa na ccm na serikali yake?!Wamesaidiwa na wanasheria wa Chama kujaza fomu zao, Wakati Chadema ikiendelea na ule mchakato wa kusaka wadhamini, CCM Wao na vikao vya kujaza fomu n.k,
Ule Wakati wamejikalia kimya kumbe ndani yake kilikuwa kishindo, Uchaguzi ni mipango mkuu
Kweli mimi ni debe tupu kwa mujibu wa akili yako finyu!Hivi kujaza hizo form inahitaji UZOEFU au UELEWA.
Wewe ni debe tupu.
Mkuu! Kusaidiwa sio mpaka ujaziwe!Hahaha uongo huu unadhani unaweza kujustfy uovu unaofanywa na ccm na serikali yake?!
Yani mbunge mtarajiwa ajaziwe form ya kugombea?!
Magufuli, Mpango, Kabudi, Ndalichako, nao wamejaxiwa form hizo na tume au wanasheria?!
Hahaha ccm kwa ujinga walionao form zote alizijaza kaijage.Mkuu! Kusaidiwa sio mpaka ujaziwe!