Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hapa unasema uongo.Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Mwanasheria angesimamia ujazaji wa form ya Gwajima asingekula kiapo tarehe 26 while form imesainiwa tarehe 20.
MaCCM wanaogopa kuwaengua kimizengwe wabunge wazoefu wa CDM kwasababu wanajua wanaushawishi wa kuingiza raiya barabarani.