Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kweli aisee...mi ninao mpaka ushahidi,jirani yangu tumesoma wote tangu std 1 mpaka advance ila baada ya hapo akawa designer...mambo anayoyafanya sasahivi ni kama yuko marekani na michael scofield....shoga.
 
Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tanzania ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakuwa na tabia za kike na wengine wana muonekano wa kianamke?

Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kishoga hii inasababishwa na nini jamanii?
 
Mwanaume mzima unavaa vinguo vilivyobana makalio kisha unaanza kutembea jukwaani kwa madaha huku ukituonesha msambwanda wanaume wenzio,!!
Unadhani uanaume ni kazi rahisi namna hiyo?
Yani ufanye kazi ya kuturingishia makalio alafu utegemee uwe mwanaume kamili gado?
 
duuu! hamna mwanaime hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuu! hamna mwanaime hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…