Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Huyu namfaham
Anaitwa frank
Tulisoma nae Tusiime
Tangia secondary anamambo ya kikekike2
Naskia adi baba ake alikataa kuwa anamfata
Tatizo ni ukiwa karibu yake ni kama uko karibu na mwanamke tu
Ata marafiki zake ni wanawake2
Ata ongea yake, tembea yake, smile yake, ata shep yake
Cjui ilikuwaje akawa mwanaume
IQ standard
Duh, Mungu atanisamehe kama ninamkufuru, ila huyu kuna baadhi ya wanawake hawamuingii kwa uzuri huo. Na nina uhakika kuna baadhi ya wanawake wakimuona tuu wanatamani wangepewa wao hiyo shape.