Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tz ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakua na tabia za kike kike na wengine wana muonekano wa kidemu?
Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kidemu/kishoga shoga hii inasababishwa na nini jamanii??
bac944a6bf8becdac0d3a9fcb6c0980d.jpg
Huyu namfaham
Anaitwa frank
Tulisoma nae Tusiime
Tangia secondary anamambo ya kikekike2
Naskia adi baba ake alikataa kuwa anamfata
Tatizo ni ukiwa karibu yake ni kama uko karibu na mwanamke tu
Ata marafiki zake ni wanawake2
Ata ongea yake, tembea yake, smile yake, ata shep yake
Cjui ilikuwaje akawa mwanaume

IQ standard
 
Mkuu nawe ni designer nn?? naona povu kwa mbaliiiiiii
Hapana Mkuu...mimi sio designer na wala sijawahi kufikiria kuwa designer

Ni kuwa sipendi tu au sioni sababu ya kujua mengi kuhusu hao machoko maana mada kama hii ilishajadiliwa several times hapa.

Ndio maana nikasema waachwe tu na maisha waliochagua wao.
 
Noted mkuu
 
Tatizo watu hupenda kuhukumu sana. Sijui kweli kama elimu zetu zote 3 zinatusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kama tunahukumu mara nyingine huwa tunaelimiahanaa bhanaa mwanaume gani unakua namnaa hiyo
Assume ndo bro wako ama mdogo wako wa kiume
How do u feel[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Skuhiz tz inaongoza
Kwa mashoga yan kila
Kukicha,wanaongezeka

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Siyo kama tunahukumu mara nyingine huwa tunaelimiahanaa bhanaa mwanaume gani unakua namnaa hiyo
Assume ndo bro wako ama mdogo wako wa kiume
How do u feel[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Mkuu.....
Nimevutiwa na comment yako, kwenye paragraph ya chini kabisa....[emoji12] [emoji12] [emoji12] hasa kwenye umaliziaji kwa lugha ya bepari........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwanaume mzima unavaa vinguo vilivyobana makalio kisha unaanza kutembea jukwaani kwa madaha huku ukituonesha msambwanda wanaume wenzio,!!
Unadhani uanaume ni kazi rahisi namna hiyo?
Yani ufanye kazi ya kuturingishia makalio alafu utegemee uwe mwanaume kamili gado?
Hahahaaaaaa wewe jamaaa umeua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom