Akili na mazingira unayo kabiliana nayo mara nyingi ndio Yana control chemical production kwenye mwili wako ikiwemo activation za dormant hormones,binadam yoyote ana hormones zote mbili ya kike na ya kiume,Ila moja inakuwa dominant kulingana na jinsia yake,mfano kama ni mwanaume hormones za kiume ndio Zita dominate za kike,na kinyume chake!
Kama kufanya kazi zinazokufanya u activate dormant hormones za kike mfano kukaa muda mwingi au kufanya shughuli za kike nk,kupakaa mafuta ya chemical ambayo yanaweza amsha hormones zilizo kufa! Ndio maana angalia hata wale washikaji wanauza vitambaa vya magauni,ukiwaangalia vizuri huwa wengi wanakuwa kama sio wanaume rijali,wengi wako weak