Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?


Georgio Arman
 
kwa hiyo hata wanaowananii wake zao au wachumba sehemu ambayo si sahihi ni mashoga na hao??

Kwani ushoga ni nini?

Mi nijuavyo shoga ni mtu anayefanya mapenzi na mtu wa jinsia yake.

Sasa mwanaume anayemfira mwanaume mwenzake yeye anakuwa hafanyi mapenzi?

Anayekuwa anafanya mapenzi ni mfirwaji peke yake?

Sielewi kabisa hii dhana ya baadhi ya watu kufikiri kwamba kumfira mwanaume mwenzako ni sifa nzuri (kwamba si ushoga) ila kufirwa tu ndo sifa mbaya (ushoga).

Mfiraji na mfirwaji wote ni mashoga kwa sababu wanashiriki katika mapenzi ya jinsia moja.

Huo ndo uelewa wangu.
 
Rio paul au nanii!!?na kalivyoo looo
Tuweke hiyo video tuone tuta.ko twake tunavyozunguka mfyuuuuu

Unapoona mtu kama huyo usicheke,bali muombee kwa mungu amsaidie atoke kwenye tabia hiyo, kwakuwa hata wazazi wake wanaumia sana, na ikizingatia wote tuna vizazi tumuombe mungu atupe vizazi vyema
 
Utafiti wako ni kweli wengi wao wanakuwa si rizki, hata mimi nimegundua hilo
 
Ndugu yangu kuweka na kuweka siyo sawa. Shoga lazima wakufaidi. Kama unafaidi tu wewe si shoga ndugu.

Weee si kweli kama alivyosema hapo NN, ,ukifanya mapenzi ya jinsia moja we ni shoga,,na hua wanapakuana tena umamfanya nae anakufanya,japo kuna wengine mashoga hua hawasimamishi wao wanafanywa tu
 

Watu wengi ni wadau wa D & G ila sikujua kama ni mashoga!Na logo yao inakick!
 
Katawazee haraka lione ushafirwa tayari,hiyo kazi tuachie sie mtoto wa kiume usiojua vibaya gume gume lililoshindikana poyeeeeee

kadai jana aliibiwa sim na mtu akavujisha mapicha na mavideo
 
Upo sawa kabisa...
 
Ndugu yangu kuweka na kuweka siyo sawa. Shoga lazima wakufaidi. Kama unafaidi tu wewe si shoga ndugu.

Wacha upunguani wewe...

Gay ni mtu yoyote mwenye attraction ya zinaa na mtu wa jinsia yake..awe analiwa au aliwi..

Anayekula ana kuwa ana attraction na anyeliwa anakuwa ana attration...woooote ni mashogaaa....

Mnataka kuutokomeza ushoga angali mnakata matawi na mizizi mnsicha....Yani vidole juu ndo mnawaita mashoga..

Kwa taarifa yako wote ni mashoga...
 
USHOGA ni vitendo vya mwanaume kushiriki kimapenzi na mwanaume mwenzake.Awe mlaji au mliwaji,wote tunawaita mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…