Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Ushoga upo tokea enzi na enzi na upo kwenye kila jamii.

Ila tunapenda kujitoa fahamu na kujifanya kana kwamba kwenye jamii zetu za Kiafrika ni jambo geni.

Na huwa siwaelewi wale wanaojifanya kuupinga kwa nguvu zote.

Wanaupinga halafu wanatumia vitu vilivyotengenezwa na hao hao mashoga.

Hahahaaaa bantu logic at its best!

Kwa hiyo tukisema tupige kura kuukubali au kuukataa,wewe utapiga ipi?
 
Weee si kweli kama alivyosema hapo NN, ,ukifanya mapenzi ya jinsia moja we ni shoga,,na hua wanapakuana tena umamfanya nae anakufanya,japo kuna wengine mashoga hua hawasimamishi wao wanafanywa tu
Without data mama usiconclude. Ni wengi wanaume wanaweka bila kuwekwa. Wewe ni mwanamke wanaume wawajuaje? Ushoga ni kuingizwa na wala si kuingiza. Kama mwanaume anaingizwa hata aingize laki moja basi huyo shoga ila kama anapumlia watu kisogoni ila hawampumlii si shoga
 
Sijakulazimisha ukubali amini unavyoamini
 
Dolce&Gabbana wana product nzuri ila sikujuaga ni mashoga

Alaaa! Mbona ni mashoga na wala hawajifichi.

Hata Michael Kors ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Na wengine wengi tu hao ma top designers ni mashoga.

Sasa utaacha kununua (kama unaweza) bidhaa za D&G kisa wao ni mashoga?
 
Kwani ushoga ni nini?

Mi nijuavyo shoga ni mtu anayefanya mapenzi na mtu wa jinsia yake.

Sasa mwanaume anayemfira mwanaume mwenzake yeye anakuwa hafanyi mapenzi?

Anayekuwa anafanya mapenzi ni mfirwaji peke yake?

Sielewi kabisa hii dhana ya baadhi ya watu kufikiri kwamba kumfira mwanaume mwenzako ni sifa nzuri (kwamba si ushoga) ila kufirwa tu ndo sifa mbaya (ushoga).

Mfiraji na mfirwaji wote ni mashoga kwa sababu wanashiriki katika mapenzi ya jinsia moja.

Huo ndo uelewa wangu.

mfiraji anaitwa basha
 
Kwa hiyo tukisema tupige kura kuukubali au kuukataa,wewe utapiga ipi?

Binafsi sijali kama mtu ni shoga au la. Hayo ni maisha yake binafsi na hayanihusu mimi.

Sioni ni kivipi watu wazima walioamua kufirana chumbani kunavyonihusu.

Kwa hiyo kwenye hiyo kura mimi sitapiga. Nitabaki neutral.

Ila ambacho sikifagilii ni ukatili dhidi ya hao watu. Kwa vile tu wao ni mashoga basi haina maana si binadamu.

Ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine na wanastahili walau ile heshima ya kibinadamu.
 
Kwani ushoga ni nini?

Mi nijuavyo shoga ni mtu anayefanya mapenzi na mtu wa jinsia yake.

Sasa mwanaume anayemfira mwanaume mwenzake yeye anakuwa hafanyi mapenzi?

Anayekuwa anafanya mapenzi ni mfirwaji peke yake?

Sielewi kabisa hii dhana ya baadhi ya watu kufikiri kwamba kumfira mwanaume mwenzako ni sifa nzuri (kwamba si ushoga) ila kufirwa tu ndo sifa mbaya (ushoga).

Mfiraji na mfirwaji wote ni mashoga kwa sababu wanashiriki katika mapenzi ya jinsia moja.

Huo ndo uelewa wangu.

mfiraji anaitwa basha au mende
 
aisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa
aiseee ni,estaajabu mchana wa leo
lakini najiuliza why s/he did that akarekodiwa kabisa

ila la mwisho kwa nini wanamitindo wakiume wengi ni magays??????
japo pia wako wa kike malesbo ila ya leo imenipa tafakuri kubwa

just nenda insta kwenye page ya usipojipanganitakupanga ujione maajabu ya dunia ya tanzania

pamo

Siyo wana mitindo tu...hata baadhi ya maHair Dresser wengi wa salon za Ulaya na America wengi wao ni mashoga"hasa wanaume". Hata mimi huwa najiuliza tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom