Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Alaaa! Mbona ni mashoga na wala hawajifichi.

Hata Michael Kors ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Na wengine wengi tu hao ma top designers ni mashoga.

Sasa utaacha kununua (kama unaweza) bidhaa za D&G kisa wao ni mashoga?

Mwenzangu mie sikujua ila products zao nitanunua tu wao ushoga wao haunihusu kabisa maana ndio life walioichagua wao
 
kwa wanaume mara nyingi ni casual tu mbona
sasa kuna mambo mawil
kuna models na desgners

desgners wanakuaga mashoga na wanaliwa na models wao chezea six pac
Mdau mmoja
kalike ulivyonijibu sasa sijui kafurahi six pac,kafulahi Models kufanya overtime kwa kuwaburudisha designer wao...Kuna hii tabia ambayo inakuja kwa kasi kwenye tasnia yetu ya Comics, huwa najiuliza usipoigiza kama mwanamke hutakubalika kwa mashabiki? Punde tu nilkuwa naangalia marudio Ze Comedy Channel Five kuna haka kavulana almaarufu mamaa Diana....ahhh Simo!
 
Mwenzangu mie sikujua ila products zao nitanunua tu wao ushoga wao haunihusu kabisa maana ndio life walioichagua wao

Shoga ebu twende msiban tukapate umbea wa huyo mwanachuo alieuawa,,,tukalale huko huko hhhhhhaaaa
 
my dear naomba uione jamani
aisee yule kaka basi aisee huko nyuma hamna kitu

nimeicheki best..., aisee yule tigo kwishnei... wateja wanabambia haswa,,, hayo mauno khatare huyu hata akikanusha mwenyewe sikubaliani nae
 
Mmdau mmoja
kalike ulivyonijibu sasa sijui kafurahi six pac,kafulahi Models kufanya overtime kwa kuwaburudisha designer wao...Kuna hii tabia ambayo inakuja kwa kasi kwenye tasnia yetu ya Comics, huwa najiuliza usipoigiza kama mwanamke hutakubalika kwa mashabiki? Punde tu nilkuwa naangalia marudio Ze Comedy Channel Five kuna haka kavulana almaarufu mamaa Diana....ahhh Simo!

Nami nimejiulizaa sanaa
 
Back
Top Bottom