Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

NN leo umetupia bila tafsida ...Nadhani wao huitwa mabasha ..hao wala kiboga
Kwa hiyo unamaanisha kwamba hao models wao si mashoga kwa sababu wanafira na siyo kufirwa?

Manake huwa sielewi kwa nini mwanaume anayemfira mwanaume mwenzie yeye asiwe shoga!
 
Mtanifanya nifungue acc huko insta napitwa maumbea kama hayaaa

mi nimefuungua sipost chochote naitumia kupata umbea tu

siku hiz blog sio issue ingia insta ushuudie kama ni vi au pic laivvuuuuu sio stor za blog

ila mpaka issue ifike hapa jua insta ishachambuliwa sana ila hili nimelipata lilivyotinga tu insta ni brandnew
 
Mdau mmoja
kalike ulivyonijibu sasa sijui kafurahi six pac,kafulahi Models kufanya overtime kwa kuwaburudisha designer wao...Kuna hii tabia ambayo inakuja kwa kasi kwenye tasnia yetu ya Comics, huwa najiuliza usipoigiza kama mwanamke hutakubalika kwa mashabiki? Punde tu nilkuwa naangalia marudio Ze Comedy Channel Five kuna haka kavulana almaarufu mamaa Diana....ahhh Simo!

yule nae anabana puaa ila ile si comedy tu

mi ndukiiiiiiiiii
wadinyane tu in Nyani Ngabu's voice
 
Last edited by a moderator:
nimeicheki best..., aisee yule tigo kwishnei... wateja wanabambia haswa,,, hayo mauno khatare huyu hata akikanusha mwenyewe sikubaliani nae

aiseee MIMI NIMENYOOSHA MKONO JUU SIWEZI KUKATA MAUNO KAMA YEYE

KAMA NI SHINDANO AM OUUUUUTTTTTTTTT
 
Acha wapakatwe tu,kuna siku moja tulikua club moja,akaja shoga.Akaongea na mshikaji wangu.Best yangu akaniomba ushauli ale au asile.Nikamwambia akifanya hivyo urafiki ushie maana ni kitendo cha laana.Rafiki yangu alinijibu namuonea kijicho,nliondoka eneo hilo ila baadae aliacha!

Huyo rafiki yako ni shoga
 
Rio kaanza hiyo tabia siku nyingi tangu wakati anasoma Sekondari... kule nanihii sema tabia imeshamiri sasa hivi
 
alafu huyo Michael kors nimevaa saa yake hapa ngoja nijisaulishe.
 
tuseme hivi

ANAETUMIA TUNDU CHAFU NI SHOGA HATA KWA FE
No...Kwani mbuzi hana tigo...?? Mbona wasiwaingilie mbuzi....Ina maanishs hakuna mutual atttaction..

Ila anakula tigo ya me since amekuwa attracted....period

Ishu ni attraction first....
 
Back
Top Bottom