Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Watu wengi ni wadau wa D & G ila sikujua kama ni mashoga!Na logo yao inakick!
Hahahaaa ndo hivyo.
Hata movie nyingi za Hollywood mashoga hushiriki kuzitengeneza.
Kwa hiyo kama unapenda kuangalia movie za Hollywood jua kuwa unaburudishwa na kazi walizoshiriki mashoga kuzitengeneza.
Na kama unatumia kompyuta jua kwamba kuna mashoga pia walishiriki katika kuzivumbua.
Ushawahi kumsikia Alan Turing?