Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Watu wengi ni wadau wa D & G ila sikujua kama ni mashoga!Na logo yao inakick!
Wacha upunguani wewe...
Gay ni mtu yoyote mwenye attraction ya zinaa na mtu wa jinsia yake..awe analiwa au aliwi..
Anayekula ana kuwa ana attraction na anyeliwa anakuwa ana attration...woooote ni mashogaaa....
Mnataka kuutokomeza ushoga angali mnakata matawi na mizizi mnsicha....Yani vidole juu ndo mnawaita mashoga..
Kwa taarifa yako wote ni mashoga...
prison break lolHahahaaa ndo hivyo.
Hata movie nyingi za Hollywood mashoga hushiriki kuzitengeneza.
Kwa hiyo kama unapenda kuangalia movie za Hollywood jua kuwa unaburudishwa na kazi walizoshiriki mashoga kuzitengeneza.
Na kama unatumia kompyuta jua kwamba kuna mashoga pia walishiriki katika kuzivumbua.
Ushawahi kumsikia Alan Turing?
USHOGA ni vitendo vya mwanaume kushiriki kimapenzi na mwanaume mwenzake.Awe mlaji au mliwaji,wote tunawaita mashoga
prison break lol
Hahahaaa ndo hivyo.
Hata movie nyingi za Hollywood mashoga hushiriki kuzitengeneza.
Kwa hiyo kama unapenda kuangalia movie za Hollywood jua kuwa unaburudishwa na kazi walizoshiriki mashoga kuzitengeneza.
Na kama unatumia kompyuta jua kwamba kuna mashoga pia walishiriki katika kuzivumbua.
Ushawahi kumsikia Alan Turing?
Ushaiona spartakas?yaan
Duh!Sasa kila tasnia imejamaa washoga,hata humu JF watakuwepo!
ndio ila sikuiangalia kwa kujiachia maana nilikua bado naishi na wazaz kipindi inatoka hivyo sikuifaid vyema
na yenyewe ina mashoga mle ndani?
mmh hata za kichina frozen flower
Yaan mdada wa kufinyana,,,janaume lenyewe linaenda kufinywa na mwanaume mmh
Aisee huko ni kujitafutia kipigo tu. Ndo mambo gani sasa hayo ya kutiana vidole?
Usinambie ushamfanyia hivyo Msukuma wako.
ila mkuu embu nipe ukweli anayeliwa ANASIMAMISHA SOSEJI YAKE
Duh!Sasa kila tasnia imejamaa washoga,hata humu JF watakuwepo!
ni shidaa sana
Dina umtie kidole mwanaume si anaweza akakurestisha in peace
Sijawahii na sitajaribu lakini kumchunguza huko si mpaka uone dalili za upunga kama anazo au anachafua boxer
Ukiona hivyo lazima uchunguzeee
Mbona kuna wanaofanywa madole wanasimulia kua wanafurahia
aisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa
aiseee ni,estaajabu mchana wa leo
lakini najiuliza why s/he did that akarekodiwa kabisa
ila la mwisho kwa nini wanamitindo wakiume wengi ni magays??????
japo pia wako wa kike malesbo ila ya leo imenipa tafakuri kubwa
just nenda insta kwenye page ya usipojipanganitakupanga ujione maajabu ya dunia ya tanzania
pamo
wapo kwani huwajui??
Dolce&Gabbana wana product nzuri ila sikujuaga ni mashoga
Naanza kukubsliana na wewe. Hata mimi nlishawahi jiuluza hilo swali. Kwa mfano, yule mtangazaji wa kiume kipindi cha Nirvana Eatv,simuelewi kabisaaisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa