Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

images

Sasa kama huyu uategemea nini mwisho wa siku.
Hakuna namna ni pumzi kichogoni!
 
Kamwe kusingekuwa na Ushoga kama hakuna kuwepo walaji wa Hiyo laana.

Hebu lawama zianzie kwa wafiraji (ashakum) alafu ndipo ziende kwa watoa Huduma.

Back to the top nikweli kwamba Wengi japo sio Wote Kati ya Hao wanamitindo ya Mavazi humu nchini wanashiriki mapenzi ya jinsia moja Sijui Chanzo ni nini.

Yupo ambaye Nina mfahamu kwa Karibu mno ambaye ni muhusika kwenye hiyo industry na inasemwa kwamba anahemewa kisogoni.
 
Habari zenyu wana jamvii
Nimeleta uzi huu baada ya kuona tunawapoteza vijana wengi sana ambao mwanzo wao hua ni Models lakin wengi wao huishia kua mashoga wenye viwango...Tafakari na tuambizane hii inasababishwa na nini??
Ahsant...nawasilisha!
Kuna kitu hujaelewa Mkuu! Tatizo sio kuwa Models wengi kuwa Mashoga!....Issue ni Mashoga wengi ni Models!
 
HIVI MWENYE AKILI MBOVU NI NANI TOP AU BOTTOM?
HAO MASHOGA WANAFANYWA NA NANI? WANAUME ACHENI UNAFIKI
MMECHOKA KUITA WANAWAKE MALAYA SASA MNALAUMU MASHOGA JIULIZE WAPO KWA SABABU GANI ?

Hili swali la msingi sana, niliuliza wakati wa lile tamko la Mkuu wa mkoa kuhusu hawa mashoga kidogo nikose ajira.
Wenzetu wazungu wote wanaitwa ''gays'' huku kwetu tunaangalia upande mmoja tu. Mashoga wamejaa kwa kuwa kuna wateja wao ambao ni wanaume wa hapa hapa.
Unafiki ambao ni wa kiwango cha juu, unamwacha mteja wa bidhaa unajadili bidhaa.
 
Some good examples of this would be Valentino Garavani, Yves Saint Laurent, Perry Ellis, Marc Jacobs, Karl Lagerfeld, Alexander McQueen and Gianni Versace
 
This is problem,,,na ubuyu uliopo mjini ni kwamba hao mashoga wanachukuliwa na watu mashuhuri tu tena wenye pesa
 
Habari zenyu wana jamvii
Nimeleta uzi huu baada ya kuona tunawapoteza vijana wengi sana ambao mwanzo wao hua ni Models lakin wengi wao huishia kua mashoga wenye viwango...Tafakari na tuambizane hii inasababishwa na nini??
Ahsant...nawasilisha!
Vipi wanakusumbua akili !! Achana nao tufanye issue constructive !!! Majibu yanapatkana kwa wao wenyewe ndo wanaelewa vizur wanatumbukiaje huko!!
 
Habari zenyu wana jamvii
Nimeleta uzi huu baada ya kuona tunawapoteza vijana wengi sana ambao mwanzo wao hua ni Models lakin wengi wao huishia kua mashoga wenye viwango...Tafakari na tuambizane hii inasababishwa na nini??
Ahsant...nawasilisha!
Umodel hauhusiani na ushoga. Ushoga n tabia ya mtu, sema mashoga wanatumia umodel kujitangaza. Kuna mamodel wakubwa wengi na wanafanya Kaz zao kama gentleman mfano David backhamp na cristiano ronaldo. Mavazi lazma yatangazwe xo u nataka mavazi ya kiume yatangazwe na kina Dada.
 
Za Kiitelijensia zinasema Christiano ni Shombeshombe wa Mapenzi
 
Without data mama usiconclude. Ni wengi wanaume wanaweka bila kuwekwa. Wewe ni mwanamke wanaume wawajuaje? Ushoga ni kuingizwa na wala si kuingiza. Kama mwanaume anaingizwa hata aingize laki moja basi huyo shoga ila kama anapumlia watu kisogoni ila hawampumlii si shoga
[emoji2] [emoji2] mbona ubatetea sana. unawapumlia nini???
 
Back
Top Bottom