Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

Kwa kweli wachagga hawajaendeleza mji wa Moshi kwasababu ya sera mbovu wa mipango miji. Hakuna watu wameweza kuendeleza miji yao sio wanyakyusa, wasukuma, wahaya, wagogo, kwasababu ya mpango mbovu wa serikali. Maendeleo ya Kilimanjaro yanayowafanya wachagga wawe tofauti na wengine tangu miaka ya 1800 yapo kule vijijini; mashule, hospital, maji, barabara, etc. Hadi leo hakuna maeneo ya vijijini East Africa yaliyoendelea na kupendeza kama Kilimanjaro vijijini.

Kingine kwa ninyi msiojua historia. Nyerere alifanya maksudi kabisa ya kuufanya mji wa Moshi na K'Njaro kwa ujumla isiende mbele. Zamani kwa watu wa Moshi ukienda kujenga Arusha ulikuwa unachekwa umekwenda kujenga wapi pa hovyo hivyo!

Nyerere aliwekeza Arusha kimakusudi kwani aliona Moshi kuna maendeleo na watu wake ndio hivyo wamekaa ki-pinzani zaidi tangu akina Mangi Marealle na wengine na akoona hakuna haja ya kuwaendeleza tena watu hawa kwani watakuwa shida kwa taifa. Akapeleka maendeleo Arusha na taratibu Arusha ikakua na kuipiku Moshi. Yapo mengi tu sitaeleza leo.

Lakini wachagga wakawa wajanja kuliko Nyerere; wakahamia mikoa mingine kufuata maendeleo yalipo na wengine wengi sana walihamia Nairobi na Mombasa! Sasa ndio wanafanya maendeleo kwenye miji ya watu na Nyerere na wengine bado hawafurahi sana sijui wanataka watu hawa wahame nchi kabisa au nini?! Ndio waafrika tulivyo tunapenda kila mtu awe maskini ndipo tunajisikia vizuri.
Acha uongo Arusha imekua sababu ya madini ya mererani na utulivu miaka ya 1990's mpaka 1940's moshi kulikuwa na uhalifu mkubwa sana ilihali Arusha kukawa kumetulia na hii ikavutia watu wengi
 
M
Kila kabila lina Madon wenye Mkwanja, ila wachaga wamekuwa maarufu kwa Biashara za Maduka ya Rejareja.

WACHAGA WENYE PESA SIO WENGI KAMA UNAVYOFIKIRIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Makabila yote yanafanana, tofauti wachaga wanapenda kujikweza for nothing, wana stress fkani hv na inferiority complex
 
K
Acha uongo Arusha imekua sababu ya madini ya mererani na utulivu miaka ya 1990's mpaka 1940's moshi kulikuwa na uhalifu mkubwa sana ilihali Arusha kukawa kumetulia na hii ikavutia watu wengi
Kwamba hao mafukara wa Moshi waliijenga Arusha? Wachaga walihamia miaka ya 90 baada ya kuona uzuri na maendeleo ya Arusha. Mchaga hawezi kupaendeleza mahali anahamia sehemu imejijenga yenye mzunguko wa hela
 
Kwa kweli wachagga hawajaendeleza mji wa Moshi kwasababu ya sera mbovu wa mipango miji. Hakuna watu wameweza kuendeleza miji yao sio wanyakyusa, wasukuma, wahaya, wagogo, kwasababu ya mpango mbovu wa serikali. Maendeleo ya Kilimanjaro yanayowafanya wachagga wawe tofauti na wengine tangu miaka ya 1800 yapo kule vijijini; mashule, hospital, maji, barabara, etc. Hadi leo hakuna maeneo ya vijijini East Africa yaliyoendelea na kupendeza kama Kilimanjaro vijijini.

Kingine kwa ninyi msiojua historia. Nyerere alifanya maksudi kabisa ya kuufanya mji wa Moshi na K'Njaro kwa ujumla isiende mbele. Zamani kwa watu wa Moshi ukienda kujenga Arusha ulikuwa unachekwa umekwenda kujenga wapi pa hovyo hivyo!

Nyerere aliwekeza Arusha kimakusudi kwani aliona Moshi kuna maendeleo na watu wake ndio hivyo wamekaa ki-pinzani zaidi tangu akina Mangi Marealle na wengine na akoona hakuna haja ya kuwaendeleza tena watu hawa kwani watakuwa shida kwa taifa. Akapeleka maendeleo Arusha na taratibu Arusha ikakua na kuipiku Moshi. Yapo mengi tu sitaeleza leo.

Lakini wachagga wakawa wajanja kuliko Nyerere; wakahamia mikoa mingine kufuata maendeleo yalipo na wengine wengi sana walihamia Nairobi na Mombasa! Sasa ndio wanafanya maendeleo kwenye miji ya watu na Nyerere na wengine bado hawafurahi sana sijui wanataka watu hawa wahame nchi kabisa au nini?! Ndio waafrika tulivyo tunapenda kila mtu awe maskini ndipo tunajisikia vizuri.
Uwongo wa kujitungia
 
K
Kwamba hao mafukara wa Moshi waliijenga Arusha? Wachaga walihamia miaka ya 90 baada ya kuona uzuri na maendeleo ya Arusha. Mchaga hawezi kupaendeleza mahali anahamia sehemu imejijenga yenye mzunguko wa hela
Walioikamata Arusha ni wachaga unawaitaje mafukara
Angalia matajiri wa Arusha asilimia kubwa ni wachaga kwanini sio wameru au wamasai

Mpaka leo hii moshi imepangiliwa vizuri zaidi hata ya Arusha
Moshi ni wazungu walikaa sana zaidi hata ya Arusha ndo maana hata shule za zamani ni nyingi

Arusha imekuja imekuja ibuka baada ya mzungu kuondoka Tanzania
 
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu.

Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii.

Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza.

Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?

Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa.

Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo.

Je hili mnalitambua?

View attachment 2874249
Wachaga ilikuws zamani, hawa wasasa wanatembelea nyota na historia ya mababu zao.
 
MChaga anaye jisifu ujui huyo Baba mchaga mama mhaya kwa hiyo huo kachukua tabia za Mama yake.
 
Back
Top Bottom