Mbona mchezaji wa Bayern aliandika kwenye mitandao ya kijamii kwamba yuko pamoja na Palestine halafu Bayern wakamfungia Kwanza kucheza michezo inayoendeleaHiyo ni ishara Yao kuwa wapo pamoja na Palestina
AaahaaaaMajibu swali la kwanza ( mathematically)
Kuhusu kuweka vidole viwili juu
Walimaanisha kuwa Al ahly watafunga goals 2........lkn makolo wakienda kwao watapigwa 2 × 5 ( kiganja Cha mkono)
Means jumanne Simba atakula 10
Wewe ndo uko sahihi 100%Mkuu iyo alama ya vidole viwili viwili na kuweka kama alama ya X kati ni ujumbe wa kuwa palestine iachwe free na vile vidole viwili ni alama ya victory iyo pia ni kwa ajili ya palestine so hao ahly wapo bega kwa bega na wapalestina na ndo mana wameshangilia vile.
Ni mtani jembe ya bara zimaHili kombe ni la maigizo tu mpaka mechi ni za maigizo
Una kazi kubwa sana ya kuipambania Simba.Majibu swali la kwanza ( mathematically)
Kuhusu kuweka vidole viwili juu
Walimaanisha kuwa Al ahly watafunga goals 2........lkn makolo wakienda kwao watapigwa 2 × 5 ( kiganja Cha mkono)
Means jumanne Simba atakula 10
Mkuu, mleta uzi anahoji, mbona Ali Ali hakuiandika Simba ktk jezi zao?Hiyo ni jezi maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano hayo...
Unahangaika wee na vikejeli weee wakati chura wa mtaroni atapasuliwa taqo kesho kutwa tu tena kwa mkapa na sio chini ya 3Majibu swali la kwanza ( mathematically)
Kuhusu kuweka vidole viwili juu
Walimaanisha kuwa Al ahly watafunga goals 2........lkn makolo wakienda kwao watapigwa 2 × 5 ( kiganja Cha mkono)
Means jumanne Simba atakula 10
Hilo lipo chin ya club Cha soka Cha Nchi husika si FIFA Wala CAFMbona mchezaji wa Bayern aliandika kwenye mitandao ya kijamii kwamba yuko pamoja na Palestine halafu Bayern wakamfungia Kwanza kucheza michezo inayoendelea