Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
πWewe jamaa kweli una Akilindogosana! Mbona Clotus Chama anaitwa kiungo konokono kwa sababu ya kucheza mpira wa aina hiyo hiyo! Na yeye ni Mtanzania?
Ulishawahi kuwasikia akina Edibily Lunyamila, Said Maulid SMG, Said Swed SCUD, na wengineo wengi? Au umezaliwa hapa juzi kati?
Kama kuna ukweli hivi. Yaani kotekote hata nje ya michezo tuna maamuzi ya taratibu na ya hovyohovyo ππWachezaji wetu Wana akisi hali halisi ya sisi Watanzania tulivyo na tunavyoishi....uvivu na kutojituma hasa tunapoona kuwa tupo kwenye kilele Cha mafaniki.
Sisi ni watu wa kuridhika na kubweteka hali ya wachezaji wetu ndio hivyo hivyo mpaka maofisini na sehemu sehemu zingine za kazi.
Mtanzania sehemu pekee anayojituma na kuwa na speed ya ajabu ni kwenye ngono na wizi.....lakini kwenye masuala ya uwajibikaji kwa ajili ya taasisi au eneo lake la kazi ni sifuri hata uwanjani unaona tofauti kati ya mgeni na mwenyeji.
Kiongozi naona unapenda vayolensi ππNaona viewed 150+ ila comments 4.
Anyway walijua ni ule upande mwingine kumbe ni mpira kweli
Hii ni ukweli.....na ukweli huu huwezi kuuona mpaka uwe umefanya kazi na watu wa mataifa mbali mbali.... utagundua kuwa sisi huku ni mwendo wa Kobe sana........Kama kuna ukweli hivi. Yaani kotekote hata nje ya michezo tuna maamuzi ya taratibu na ya hovyohovyo ππ
HakikaHuwezi kula ugali ukawa na maamuzi ya haraka.Mahindi ni chakula cha wanyama.
Bado nafuatilia kuona kama hiki ni chakula cha asili ama kililetwa na wazungu kwa ajili ya watumwa. Huenda hata kuna sumu inaua nguvu za ubongo wetu kwenye hivi vyakula.
Chakula nilicho na uhakika nacho ni mtama na uwele tu
Wengi huwa hawapendi yale mazoezi ya kupa ga koni... Wenye wana kwambiaga huu ni mpira wa miguu sio Riaza ... Sasa wakikutanaga na wanyama wanao serereka ktk flanks aisee huwa ni majutoo mtu kama M17 huwa anatesekaga yule mwamba ila anajikazaga sana alafu ni bedui hasaaKuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli.
Je, kuna suluhisho?
Ee Mungu tuokoeHii ni ukweli.....na ukweli huu huwezi kuuona mpaka uwe umefanya kazi na watu wa mataifa mbali mbali.... utagundua kuwa sisi huku ni mwendo wa Kobe sana........
Niliwahi kununua mzigo sehemu fulani vifaa vya Ujenzi nilituma oda nikaomba proforma invoice tangu saa nne asubuhi imekuja kutumwa saa nane mchana.......hebu fikiria jambo rahisi kama proforma invoice ambayo huitungi bali ipo kwenye system wewe ni kujaza tu na kuprint lakini ni shida.........
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja yaani kila siku nilikuwa nagombana na mdada mmoja pale ofisini....yaani ofisi nzima watu wanatembea na kufanya kazi kama mazombi au kama wapo gerezani.......
Kitu pekee wanachozingatia ni mida ya lunch na siku za sikukuu.........
Kuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli.
Je, kuna suluhisho?