Hii ni ukweli.....na ukweli huu huwezi kuuona mpaka uwe umefanya kazi na watu wa mataifa mbali mbali.... utagundua kuwa sisi huku ni mwendo wa Kobe sana........
Niliwahi kununua mzigo sehemu fulani vifaa vya Ujenzi nilituma oda nikaomba proforma invoice tangu saa nne asubuhi imekuja kutumwa saa nane mchana.......hebu fikiria jambo rahisi kama proforma invoice ambayo huitungi bali ipo kwenye system wewe ni kujaza tu na kuprint lakini ni shida.........
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja yaani kila siku nilikuwa nagombana na mdada mmoja pale ofisini....yaani ofisi nzima watu wanatembea na kufanya kazi kama mazombi au kama wapo gerezani.......
Kitu pekee wanachozingatia ni mida ya lunch na siku za sikukuu.........