Kwanini Wachina World Cup hawapo au ndo hawana vipaji vya mpira au wameupa mpira Talaka

Kwanini Wachina World Cup hawapo au ndo hawana vipaji vya mpira au wameupa mpira Talaka

Waungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini
Kabla ya kujiuliza China kama walishiriki jiulize Tanzania imeshiriki lini?

Usije kuta unafwatilia mambo ya China wakati yako yamekushinda.
 
Mara ya mwisho kuwasikia wachina kombe la dunia ni mwaka 2002 walicharazwa 4-0 na Brazil... Mwaka huohuo ndiyo Saudi Arabia alitandikwa 8-0 na Ujerumani akapotea michuanoni hadi mwaka huu alipoibuka kupigwa idadi sawa na nguzo za uislamu na Warusi.

China hiyo sidhani kama aliingia tena
Asia kwa mpira inaonekana bado wako nyuma sana
 
Kuna nchi ngapi duniani na zinakuwa kwenye mashindano ya kombe la dunia ni ngapi?
 
Kabla ya kujiuliza China kama walishiriki jiulize Tanzania imeshiriki lini?

Usije kuta unafwatilia mambo ya China wakati yako yamekushinda.
Tz kombe la africa tu hatishiriki, unaenda la dunia mbali huko,
 
Jamani Huyu M2 Ni Muhenga Humu Ndan
Wewe 2002 ulikuwa hujazaliwa ?
Au ulikuwa eneo ambalo halina umeme na kushindwa kushuhudia kombe la dunia lililofanyika Korea na Japan ?
Ulikuwa bado chijijini ?
Karibu mjini sasa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Japan wenye karate, judo na ninjutsu mbona hakukutokea mchezaji kuumia?

wakati wale huko kwao hadi siku moja wabunge walizinguana. Karate zikatembezwa bungeni
Nakumbuka 1987 ilibidi spika wa bunge achaguliwe kwa uwezo wake wa pambano[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Hawa watu aseee
 
Back
Top Bottom