Mahole
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 682
- 924
Kwan Tanzania sisi tumepewa nn hapo?Sasa huyu Zidane kaenda Qatar kufundisha nn cjui...Qatar wana pesa sana ila mpira ndo hakuna....ama kweli Mungu hakupi vyote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan Tanzania sisi tumepewa nn hapo?Sasa huyu Zidane kaenda Qatar kufundisha nn cjui...Qatar wana pesa sana ila mpira ndo hakuna....ama kweli Mungu hakupi vyote...
Kabla ya kujiuliza China kama walishiriki jiulize Tanzania imeshiriki lini?Waungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini
Asia kwa mpira inaonekana bado wako nyuma sanaMara ya mwisho kuwasikia wachina kombe la dunia ni mwaka 2002 walicharazwa 4-0 na Brazil... Mwaka huohuo ndiyo Saudi Arabia alitandikwa 8-0 na Ujerumani akapotea michuanoni hadi mwaka huu alipoibuka kupigwa idadi sawa na nguzo za uislamu na Warusi.
China hiyo sidhani kama aliingia tena
2002 wameshirikiWaliwahi kushiriki mwaka gani mkuu?
Tz kombe la africa tu hatishiriki, unaenda la dunia mbali huko,Kabla ya kujiuliza China kama walishiriki jiulize Tanzania imeshiriki lini?
Usije kuta unafwatilia mambo ya China wakati yako yamekushinda.
Ni kweli ila safari hii wamejitahidi sana, haswa Japan sikutegemea Kam wataupiga mwingi kombe la duniaAsia kwa mpira inaonekana bado wako nyuma sana
Wewe 2002 ulikuwa hujazaliwa ?Jamani Huyu M2 Ni Muhenga Humu Ndan
Kila mpira uliokuwa unatoka walikuwa wanajifanyia sabu, mwisho wa siku wakajikuta wako wengi uwanjani[emoji23] [emoji23]Ilikuwaje hadi wakagundulika..
Nakumbuka 1987 ilibidi spika wa bunge achaguliwe kwa uwezo wake wa pambano[emoji23] [emoji23] [emoji23] .[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Japan wenye karate, judo na ninjutsu mbona hakukutokea mchezaji kuumia?
wakati wale huko kwao hadi siku moja wabunge walizinguana. Karate zikatembezwa bungeni
Unafahamu mpira ulianzia China!!Waungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini