sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Bado hawajamjua bwanaNimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha.
Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara nyingine nje ya uchungaji.
Juzi nilienda pale kawe.Wale ni wachungaji wa mishahara ndio maana hawana ukwasi mwingi, sadaka yote huenda makao makuu ndio ikapangiwe matumizi ikiwepo kuwalipa mishahara
Kupiga rangi hapigi yule anaangalia pesa tu, hajali mandhari ya makutano ya watu wake. Unakuta mtu anajiita mtume na na nabii lakini hana mahali pazuri pa kufanyia ibadaJuzi nilienda pale kawe.
Aisee Yule jamaa anapiga hela.
Maji hela ,mafuta hela ,bado sadaka hapo acha tu.
Ila afanye mpango arekebishe jengo lile.yasije yakatokea ya goba.
Jengo limechoka sana mvua ikinyesha wanakuwa pa ovyo Sana.
Apake japo RANGI
Na pesa anapiga za kutosha.Kupiga rangi hapigi yule anaangalia pesa tu, hajali mandhari ya makutano ya watu wake. Unakuta mtu anajiita mtume na na nabii lakini hana mahali pazuri pa kufanyia ibada
wanajitesa bure, na mwisho wataenda motoni kwasababu hawajaokoka, bado wanaamini wanaweza kumpendeza Mungu kwa njia ya matendo ya mwili, kwa njia ya sheria, na kudharau deni la Yesu Kristo lililolipwa la damu msalabani kwakuwa na kutusaidia sisi ambao tunaamini hatuwezi kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria.Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha.
Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara nyingine nje ya uchungaji.
Kwahiyo wewe unaye thamini deni la kristo ni straight kwenye mkono wa kuume wa Baba🤣🤣🤣🤣wanajitesa bure, na mwisho wataenda motoni kwasababu hawajaokoka, bado wanaamini wanaweza kumpendeza Mungu kwa njia ya matendo ya mwili, kwa njia ya sheria, na kudharau deni la Yesu Kristo lililolipwa la damu msalabani kwakuwa na kutusaidia sisi ambao tunaamini hatuwezi kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria.
at least, ninaye wa kuniombea kwa Baba, ninyi wa kuwaombea ni Musa ambaye sio njia ya kwenda mbinguni. period.Kwahiyo wewe unaye thamini deni la kristo ni straight kwenye mkono wa kuume wa Baba🤣🤣🤣🤣
Kumjua ndio kuwa tajiri??Bado hawajamjua bwana
ni utaratibu mzuriWale ni wachungaji wa mishahara ndio maana hawana ukwasi mwingi, sadaka yote huenda makao makuu ndio ikapangiwe matumizi ikiwepo kuwalipa mishahara
Ayub 21:22Kumjua ndio kuwa tajiri??
Ayub 21:22Kumjua ndio kuwa tajiri??
Umelishwa tango pori. Yesu ndie njia na uzima hakuna mkristo wa kweli anaye paswa mtumainia musa wala bikira maria wala mafuta ya upako wala sijui vitambaa gani hivyo vyote mnapigwa tu na watumishi matapeliat
at least, ninaye wa kuniombea kwa Baba, ninyi wa kuwaombea ni Musa ambaye sio njia ya kwenda mbinguni. period.