Wachungaji wa kisabato wameajiriwa ni kama mfanyakazi wa serikali, so hawana ubavu wa kugusa hata senti moja ya sadaka, zaka au shs yoyote iliyoingia kwenye eneo la kanisa lao.
Mchungaji anaweza kufanya biashara zake (wapo wanaofanya tunawafahamu) ila kwa si kwa uwazi sana maana kwa mfumo wa kanisa hilo si haki kwa mchungaji kufanya biashara huku anaongoza kondoo, lazima pesa itakuwa na nguvu.
Kutokana na hilo wamekasimishwa kuishi na kula madhabahuni tu, iyo ndiyi inapekea wengi wasionekane wana ukwasi.