Kuna yule jamaa kwa siku alikuwa anaanzisha nyuzi hata 6 na zote anachangia. Now kapumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kumbe kuna limitation ya kupost nyuzi.Kuna yule jamaa kwa siku alikuwa anaanzisha nyuzi hata 6 na zote anachangia. Now kapumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa bt addiction yao kubwa ni ulabu sasa sijui kwanini.Mimi ninachokumbuka kuhusu Arusha ni kwamba kuna watoto wazuri sana lakini kukuchoma kisu ni dakika mbili tu.
HahahahaBaba hebu tuwache hivyo hivyo[emoji28][emoji28]
hapa nimepata picha.Ukanda huo ni baridi, Pombe ni kama ni Blanket la kilo 10
hapa nimepata picha.
Ukienda huko uchaggani kunywa pombe ni desturi
Umeshaambiwa sababu ni winta bablai.sawa bt addiction yao kubwa ni ulabu sasa sijui kwanini.
Wasalimu IRINGA hapo.
Unapokuja njoo na ULANZI.
kuna mjumbe hapo juu kadai wanatumia ajili ya baridi.Labda utamaduni