Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Natumai hamjambo wanabodi

Wakuu inakuwaje hawa mabinti wadogo wa Arusha & Kilimanjaro wenye umri wa 18-24 wanakula ulabu sana.

Nimekua na marafiki wengi wa kike toka mikoa hiyo lakini nimeshangazwa sana na hii tabia, je unywaji wa pombe kwa umri mdogo ni utamaduni wa mikoa hiyo au unasababishwa na nini?
 
Kwa sababu wameamua

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Back
Top Bottom