Natumai hamjambo wanabodi
Wakuu inakuwaje hawa mabinti wadogo wa Arusha & Kilimanjaro wenye umri wa 18-24 wanakula ulabu sana.
Nimekua na marafiki wengi wa kike toka mikoa hiyo lakini nimeshangazwa sana na hii tabia, je unywaji wa pombe kwa umri mdogo ni utamaduni wa mikoa hiyo au unasababishwa na nini?