Kwanini wadada wengi mnatuombaga hela baada ya sisi kuwatongoza?

Kwanini wadada wengi mnatuombaga hela baada ya sisi kuwatongoza?

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Mimi sielewi, ni kwamba

1) Mnatukomoa
2)Mnatuuzia papuchi,

Kama ni shida ya hela, kila MTU ana shida ya hela, mbona sisi tukiwatongoza hatuwaombi hela?

Halafu utakuta mdada baada ya kumtongoza anakuomba hela na usipompa hiyo hela uhusiano unakufa hapo hapo.

Hakutafuti tena kama mwanzoni kisa ulimwambia huna hela.
 
Hairisha lengo lako

akishakuomba hela "mtumbue"

tafuta njia nyingine
 
Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
 
AlphaMale

Majibu ya maswali yako juu ya mashaka na malalamiko yako juu ya kwa nini wanawake wanawaomba hela wanaume?"

jibu hili litakupa mwanga juu ya asili ya uumbaji wa kimungu na mgawanyo wa majukumu kati ya mke na mume iwe katika ndoa au pale watu jinsia hizi mbili zikutanapo popote pale:


Ingawa wanaume na wanawake wako sawa katika uhusiano na Kristo, maandiko yanatoa majukumu maalum kwa kila mmoja katika ndoa. Mume anapaswa kuchukua uongozi katika boma (1 Wakorintho 11:3, Waefeso 5:23). Uongozi huu usiwe wa kihimla, kukandamiza, au shupavu kwa mke, lakini lazima iwe kwa mujibu wa mfano wa Kristo kuongoza kanisa. "Enyi wanaume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neon" (Waefeso 5:25-26). Kristo alivyolipenda kanisa (watu wake) na huruma, rehema, msamaha, heshima, na kutokuwa na ubinafsi. Kwa njia hiyo waume wanapaswa kuwapenda wake zao.

Wake wanapaswa kunyenyekea kwa mamlaka ya waume zao. "Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili wake. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo" (Waefeso 5:22-24). Ingawa wanawake wanapaswa kunyenyekea kwa waume zao.

Biblia pia anawaambia wanaume mara kadhaa jinsi wanatakiwa kuwafanyia wake zao. Mume hapaswi kuchukua nafasi ya kiihimla, lakini wanapaswa kuonyesha heshima kwa mke wake na maoni yake. Kwa kweli, Waefeso 5:28-29 anawahimiza watu kuwapenda wake zao katika njia sawa wanavyoipenda miili yao wenyewe, kuwalisha na kuwatunza. Upendo wa mume kwa mke wake unapaswa kuwa sawa na upendo wa Kristo kwa mwili wake, kanisa.

"Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana. Ninyi Waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao "(Wakolosai 3:18-19). "Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpamke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe" (1 Petro 3: 7). Kutokana na mistari hii tunaona kwamba upendo na heshima ni sifa ya majukumu ya waume wote na wake. Kama haya yapo katika ndoa, basi mamlaka, uongozi, upendo, na kunyenyekea hakutakuwa na tatizo kwa mpenzi yeyote.

Kuhusiana na suala la mgao wa majukumu katika boma, Biblia inawaamuru waume kukimu familia zao. Hii ina maana kuwa anafanya kazi na kupata fedha za kutosha kukimu mahitaji yote ya maisha kwa mke na watoto wake. Kwa kushindwa kufanya hivyo ina madhara maalum ya kiroho. "Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani wale wa numbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini" (1 Timotheo 5:8).

Hivyo, mume ambaye hafanyi juhudi za kukimu mahitaji ya familia yake haiwezi kujiita Mkristo halisi. Hii haimaanishi kwamba mke hawezi eza katika kusaidia familia Mithali 31 inaonyesha kuwa mke mcha Mungu anaweza hakika kufanya hivyo-lakini kukimi familia si hasa wajibu wake; ni wa mume wake. Wakati mume anasaidia kutayarisha watoto na kufanya kazi za nyumbani (hivyo kutimiza wajibu wake wa kumpenda mke wake), Mithali 31 pia inaweka wazi kwamba nyumbani ni eneo kimsingi mwanamke ushawishi na wajibu.

Hata kama yeye ni atalazimika kulala akiwa amechelewa na kuamka mapema, familia yake imetunzwa vyema. Haya sio maisha rahisi kwa wanawake wengi hasa katika mataifa tajiri ya Magharibi. Hata hivyo, wanawake wengi mno wamesumbuliwa na kusukumwa hadi kiwango cha talaka. Ili kuzuia matatizo hayo, wote wawili mume na mke wanapaswa kimaombi kupanga tena vipaumbele vyao na kufuata maelekezo ya Biblia juu ya majukumu yao.

Migogoro kuhusu mgao wa kazi katika ndoa hakika hutokea, lakini endapo wapenzi wote wawili ni wanyenyekevu kwa Kristo, migogoro hii itakuwa ndogo. Kama wanandoa hupata mapishano juu ya suala hili mara kwa mara na wakali, au kama mapishano yanaonekana kuwa tabia ya ndoa, tatizo ni la kiroho. Katika hali hiyo, washirika lazima wawe na juhudi wenyewe kwa maombi na kunyenyekea kwa Kristo kwanza, basi kwa mtu mwingine katika mtazamo wa upendo na heshima.

Mkuu maelezo haya yote ndiyo yanakupatia chanzo na asili ya wanawake kupenda kupewa pesa wakutanapo na wanaume kwenye mahusiano ya kindoa, urafika nk. Kinyume chake chaweza kuwa dhahiri pia kwa wanawake kuwatunza au kuwapa pesa wanaume. haya yakitokea ni kwa bahati mbaya tu lakini asili ya mume na mke ni jinsi ilivyoelezwa hapo juu kwa kirefu.

NAWASILISHA

Reference:
Got Questions: Your Questions.Biblical Answers
 
Kwasbb mwanaume ndo kichwa cha familia... Sasa ww ndo kichwa lazma umuhudumie mke ila hujaoa yeye akamuombe Nani pesa??
 
Tatizo lilipo nataka status kwa mashost, nionekane wa high level sawa, Lazima nikuombe tu.
 
We toa hela, wakikuomba wape tu tena wakabidhi wallet yako kabisa wachukue wenyewe...

Kama na ATM kadi wape tu, watajie na password zote hadi za tiGOpesa, MPESA,TPESA...

Hata ukiwa na minoti feki yote we wape tu...
 
Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
[emoji87] [emoji87] kumbee
 
Nimejifunza leo baada ya kusema
Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
 
Back
Top Bottom