Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
This is very true na ni mbinu nzuri sana ya kuwakimbiza wasumbufu/mtu usiyetaka mazoea naeUkiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
Mwanamke anayejitambua akikupenda kwa dhati hawezi kukupiga vizinga