Kwanini wadada wengi mnatuombaga hela baada ya sisi kuwatongoza?

Kwanini wadada wengi mnatuombaga hela baada ya sisi kuwatongoza?

Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
This is very true na ni mbinu nzuri sana ya kuwakimbiza wasumbufu/mtu usiyetaka mazoea nae

Mwanamke anayejitambua akikupenda kwa dhati hawezi kukupiga vizinga
 
unapogonga type ya mwanamke wa hivyo ukumbuke kuvaa condom 4 maana

hao viumbe ni wauzaji na hiyo ndio tabia yao so unapojitosa sehemu hiyo hakikisha unaingia na kutoka salama

usije kunasa ukajutia.
Point taken master
 
Akiomba hela we mpe ukishachsfua unasepa usimpe hela tena
Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
 
Mi aisee akiniomba hela namdharau kuanzia siku hiyo na sioni shida kumpoteza sana tu kama nna shida sana na kiungo chake nitajifanya mjinga kwa mda. Nikishakula tu nabadilika, hela yangu haioni tena so akipenda kuendelea kutumika sawa akiona mm nna maringo namwambia we ukipenda unaweza kumove on
 
Ila huwa nina heshima sana na wanawake wasionibebesha mizigo. Na huwa nawaogopa sana
 
Binafs mwanamke niliyem apraoch akiniomba pesa huw nampa pesa anayoitaka halafu kuanzia hiyo siku atajua ajui
 
Ukiona mwanamke kaanza kwa kukuomba pesa mwanzo kabisa wa mahusiano ama pengine hata hujamtongoza, that's the easiest way of telling you that 'you don't deserve to be in her life'..!
Hakuna aliye tayari kukipoteza chenye thamani kwenye maisha yake!!
Mtajifunza lini hili wanaume??
Hii ni kweli
 
Back
Top Bottom