Kwanini wadada wengi mnatuombaga hela baada ya sisi kuwatongoza?

Naomba no yako ya siku ili nitumie fursa vizuri kabisa, tafadhali wahisha haraka iwezekanavyo Mama [emoji87]
 
Mleta mada nakushangaa aana. Inaonekana siku hizi hamjui kutongoza. Nikimpenda demu. Kazi ya kwanza ni kumpa huduma ndogo ndogo. Chakula, nauli, muda wa maongezi n.k. Alainike. Nikimwambia hachomoi.
Demu kupewa ni wajibu. Kama hutaki kutoa usitongoze.
Hata mke usipomnunulia nguo na chupi zitanunuliwa na mwingine.
 
umelenga na hili jiwe lina shabaa limetua sehemu husika

Kweli nashangaa unaharaka ya nn kumwambia mwanamke nakupenda,sijui fye fye fye

let your actions speak, ukija kutongoza hata huongei neno moja Ile ukianza tuuu

anakuziba mdomo anakwambia funga macho "ukifumba" unamkuta kajaa kwenye lips

That means Yes is her OPTION.
 
Endelea tu hivohivo kutukumbusha hii jinsia yangu kuna watu vichwa vigumu
 
yan kila siku tunawambia lkn hawasikii ukiona unaombwa hela mapema jua HUPENDWI
 
Hao Wanawake walikufaga enzi za vita vya Kagera, siku hizi ukichukua tu no za simu hata kabla hujamtongoza tayari ushakuwa ATM CARD.
 
Kwasbb mwanaume ndo kichwa cha familia... Sasa ww ndo kichwa lazma umuhudumie mke ila hujaoa yeye akamuombe Nani pesa??

Ukitongozwa tu unakuwa mke [emoji15][emoji15][emoji15]

Eti akamuombe nani pesa, jana ulimwomba nani..? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna kitu umenikumbusha hapa mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaaah...! Anyway, nisije hali ya hewa.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
tulia tu mkuu

yasije tokea ya ebitoke tafadhali

kausha huko huko....

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mimi Jana nimekatongoza kademu twitter tumetumiana msg 5 kanasema kana shida na 10000 dah nikaona kweli sikuhz pesa mbele mapenzi badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…