Kwanini wadada wengi mnatuombaga hela baada ya sisi kuwatongoza?

Sijawahi kujua hii mentality huwa inatoka wapi kiukweli, nadhani mtu anaona kukuambia hakutaki sounds so rude so anafanya kituko ili uondoke 'monyewe'..!!
Sasa ili uwondoke na vipi ukimpa alichoomba bado ataondoka? Hawa wadada wa siku hizi tu ni omba omba! Nilikutana na kabinti yani kuomba namba nafika nilipokuwa naenda sms naomba elfu15 nikasuke ndo tumejuana muda huo huo...... nikakapa wakati kanatoka saloon na mimi nikakaomba nikakalamba kwenye gari! Kalivyosepa nikala buyuโ€ kaanza salamu japo simjibu ila kaomba nilipe ada yake ya chuo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mtu anasalimia humjibu lakini hajali anaomba hela humjibu hajali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anaanza kukumbusha nimekuomba laki3 ya ada sijibu na yeye kutuma sms haachi!!! haya yote yanatokea ndani ya 3 toka tufahamiane๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ