Binafsi nampenda sana huyu dada aiseee sijui nisemeje tu, huwa najiuliza wana sababu gani haswa wanazomchukia nakosa, ila nilichogundua wengi wa wanaomchukia ni team wema sabab ya madam wao kuachwa basiiiiiiiiii na wengine chuki binafsi tu
Wmejaa ujinga mtupuWema hakuachwa,alimuacha mwenyewe dai kwa kusikiliza hio hio timu yake isiyo na mbele wala nyuma,kisingizio eti dai anamuibia nyota yake na kuitumia kujipatia mafanikio ya kimuziki. Leo wanamuwekea kinyongo dada wa watu wakati wao ndio wenye makosa
Wengine mafanikio ya zari yanawaumiza sana
Sana asee mkuu..hicho tuu ndicho anachonikeraaana dharau
umekutana naye wapi au mnaishi mtaa mmoja ?ana dharau
Jirani yangu madale[emoji41]...umekutana naye wapi au mnaishi mtaa mmoja ?
Hapo sasa, wabongo wana shida sana. Sijui kama atakuja na majibu.
Ka mdharau nani?
asante , mi nakuja kulaJirani yangu madale[emoji41]...
hivi anavotudhalilishaga hamuonagi? wagumba/washenzi/hamna akili nk ? haitoshi kutopenda matendo yake?
sichukii mtu nachukia matendo ya mtu.
karibuni dinner wapendwa
Jirani yangu madale[emoji41]...
hivi anavotudhalilishaga hamuonagi? wagumba/washenzi/hamna akili nk ? haitoshi kutopenda matendo yake?
sichukii mtu nachukia matendo ya mtu.
karibuni dinner wapendwa
Ulisha kutana nae nn?Huyu dada mzuri sana kwenye picha, uso kwa uso wakawaida tu, mleta uzi mwambie apunguze kujiedit sana.
nyie wakina nani?Mbona zari haishi mandale na akija huwa ni nadra kuwa nje ya nyumba kusogoa umbea
Wakati anatoa hayo maneno na nyie mkumbuke mlimtukana vya kutosha mpaka kufikia kuita watoto wake nyani,mara mnadai DNA ya tiffa.
Kweli nyani haoni .....
nyie wakina nani?
Huo muda wa kuitawatoto za watu nyani nautoa wapi.
unapotukanwa na mtanzania mmoja usijumuishe wote.
zari ana kwazwa na baadhi ,yeye anajibu kuwakwaza mpaka msio husika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa dada ake zariHilo ndo tatizo la watanzania. Mmoja anarusha jiwe,akijibiwa linawauma wote na kutafuta sympathy
Hayo majibu unayoyasema hata wewe wafahamu alimjibu nani na kwa sababu ipi