Kwanini wadada wengi wanamchukia Zari?

Kwanini wadada wengi wanamchukia Zari?

Wema hakuachwa,alimuacha mwenyewe dai kwa kusikiliza hio hio timu yake isiyo na mbele wala nyuma,kisingizio eti dai anamuibia nyota yake na kuitumia kujipatia mafanikio ya kimuziki. Leo wanamuwekea kinyongo dada wa watu wakati wao ndio wenye makosa

Wengine mafanikio ya zari yanawaumiza sana
Binafsi nampenda sana huyu dada aiseee sijui nisemeje tu, huwa najiuliza wana sababu gani haswa wanazomchukia nakosa, ila nilichogundua wengi wa wanaomchukia ni team wema sabab ya madam wao kuachwa basiiiiiiiiii na wengine chuki binafsi tu
 
Wema hakuachwa,alimuacha mwenyewe dai kwa kusikiliza hio hio timu yake isiyo na mbele wala nyuma,kisingizio eti dai anamuibia nyota yake na kuitumia kujipatia mafanikio ya kimuziki. Leo wanamuwekea kinyongo dada wa watu wakati wao ndio wenye makosa

Wengine mafanikio ya zari yanawaumiza sana
Wmejaa ujinga mtupu
 
Swali na jibu vyote umeviweka mleta mada aah acha wadada uliotaka wakuongezee maswali waje
 
Mbona zari haishi mandale na akija huwa ni nadra kuwa nje ya nyumba kusogoa umbea

Wakati anatoa hayo maneno na nyie mkumbuke mlimtukana vya kutosha mpaka kufikia kuita watoto wake nyani,mara mnadai DNA ya tiffa.

Kweli nyani haoni .....
Jirani yangu madale[emoji41]...

hivi anavotudhalilishaga hamuonagi? wagumba/washenzi/hamna akili nk ? haitoshi kutopenda matendo yake?
sichukii mtu nachukia matendo ya mtu.

karibuni dinner wapendwa
 
Mbona zari haishi mandale na akija huwa ni nadra kuwa nje ya nyumba kusogoa umbea

Wakati anatoa hayo maneno na nyie mkumbuke mlimtukana vya kutosha mpaka kufikia kuita watoto wake nyani,mara mnadai DNA ya tiffa.

Kweli nyani haoni .....
nyie wakina nani?
Huo muda wa kuitawatoto za watu nyani nautoa wapi.
unapotukanwa na mtanzania mmoja usijumuishe wote.
zari ana kwazwa na baadhi ,yeye anajibu kuwakwaza mpaka msio husika
 
Hilo ndo tatizo la watanzania. Mmoja anarusha jiwe,akijibiwa linawauma wote na kutafuta sympathy

Hayo majibu unayoyasema hata wewe wafahamu alimjibu nani na kwa sababu ipi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa dada ake zari
 
Nilimjua Huyu Mwanamke Takribani Mwaka 2012. Alikua Akihojiwa Na Sporah Show Star Tv. Yani Just Out Of Nowhere Nilijikuta Nimekaa Naangalia Kipindi Na Sipendagi Kuangalia Star Tv Naonaga Imekaa Kisukuma Sana. So Baada Ya Hapo Nikaanza Kumfuatilia Mitandaoni Haswa Facebook. And Trust Me I Once Commented On Her Pic Aka-Like. That Was Way Back Hapo Diamond Ana Moyo Wangu Tu Na Mawazo. By That Time Alikua Active Ktk Music Na Nyimbo Zake Japo Sikufuatitlia Sana Mziki Wake Ila Utajiri Alikua Nao MiVogue Sijui MiHummer Yani Yule Sporah Show Alikua AnaBlush Hata Kuuliza Maswali Mara Amuulize Wanaume Si Wanakuogopa Mara UnaManage Vipi...
Shida Ya Wanawake Wengi Wa Bongo Kumchukia Ni Kwamba Wameona Zari Upstages A Lot Of Their Female Favourite Stars. Aseme Mtu Hapa Nani Celeb Wa Kike Ktk Enterntaiment Industry Anaemgusa Zari. Hamna. Na Hata Hao Wengine Labda Ni Vyeo Tu Vya Kisiasa Ila Nao Hamna. Then Anakuja AnaDate Na The Most Succesfull Bongo Flavour Artist Of All Time. Na Kumfanya The So Called Tz Sweetheart Aonekane Zero. Sometimes Watu Wanatakaga Tu KuRelease Frustrations Zao Za Maisha Maan Huezi Kufwata Ukuta Au Mti Uutukane Au Uuchukie Koz Hauna Hisia.
 
Back
Top Bottom