Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
- Thread starter
- #41
Wema hakuachwa,alimuacha mwenyewe dai kwa kusikiliza hio hio timu yake isiyo na mbele wala nyuma,kisingizio eti dai anamuibia nyota yake na kuitumia kujipatia mafanikio ya kimuziki. Leo wanamuwekea kinyongo dada wa watu wakati wao ndio wenye makosa
Wengine mafanikio ya zari yanawaumiza sana
Wengine mafanikio ya zari yanawaumiza sana
Binafsi nampenda sana huyu dada aiseee sijui nisemeje tu, huwa najiuliza wana sababu gani haswa wanazomchukia nakosa, ila nilichogundua wengi wa wanaomchukia ni team wema sabab ya madam wao kuachwa basiiiiiiiiii na wengine chuki binafsi tu